Akihubiri siku ya Pasaka katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship lililopo Mwenge, katika Jiji la Dar-Es-Salaam, Askofu Mkuu Zachary Kakobe alisema kwamba, inajulikana wazi kwamba Lowassa amekuwa anautaka Urais kwa udi na uvumba kwa miaka mingi, hata mwaka 1995 alijitosa hadharani kuuwania lakini Nyerere akasema Lowasa ni Mwizi, akatolewa , sasa anapodai kwamba hivi sasa kuna makundi yanayokwenda kwake kumshawishi agombee Urais, kana kwamba yeye hataki Urais, anakuwa anamdanganya nani?Namkataa Lowasa na kazi zake zote, anasa za Richmond na Tamaa ya Urais
Haya tumekusikia umetushawishi, nenda kachukue posho yako kwa Bashe.
Lowassa is UNSTOPPABLE
Wakati mwingine tukubali ukweli kuwa Lowassa anakubalika sana !
Lowassa rais wangu nakusubiri.
Ole wao CCM wakate jina la Lowassa ... maana hata yeye mwenye anakiri kuwa hawezi kuzuia mafuriko kwa mkono ...
Akihubiri siku ya Pasaka katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship lililopo Mwenge, katika Jiji la Dar-Es-Salaam, Askofu Mkuu Zachary Kakobe alisema kwamba, inajulikana wazi kwamba Lowassa amekuwa anautaka Urais kwa udi na uvumba kwa miaka mingi, hata mwaka 1995 alijitosa hadharani kuuwania lakini Nyerere akasema Lowasa ni Mwizi, akatolewa , sasa anapodai kwamba hivi sasa kuna makundi yanayokwenda kwake kumshawishi agombee Urais, kana kwamba yeye hataki Urais, anakuwa anamdanganya nani?