Hizi ni fitna na majungu. Watu wanafikiria urais badala ya kufikiria kujenga nchi. Watu wanakula mlo mmoja, maisha yamepanda na kwa taarifa tu ni kwamba Rais ajaye 2015 hajaanza kampeni zozote na hatafanya kampeni kama hizi.
Mfano mjifunze kwa Dr Shein. Ila ninaamini kuwa rais ajaye hatatoka CCM, na akitoka CCM hatakuwa rais wa watanzania bali ni rais wa system, TISS na NEC (tume ya uchaguzi). Ninashauri wananyukana waache maana kuelekea 2015 CCM haina 100% ya kutawala hata kwa bunduki kama wanaipenda nchi, waache kujihakikishia kuwa ushindi wa uteuzi kwa ticket ya CCM ni assurance ya ushindi wa mezani.