Mkakati wa Kumuhujumu JK na Lowassa

Mkakati wa Kumuhujumu JK na Lowassa

Mkuu hii taarifa in a match kabisa na taarifa kamili ..usibeze...

Myatake: Kuna mengi yatafumuka.....na hata mkutano wa Jk na Chadema Leo ..... Ni moja ya njia ya Jk kufanya PR management .......huu mkutano wa Leo umesaidia kupunguza focus kidogo ya Jk kubebeshwa zigo la Richmond ......Chadema utagundua walikaa kimya ili wasivuruge mkutano wa katiba.....
Membe anautaka urais kwa kufa na kupona ....though kwa maoni yangu naona hatafaa kwani naye Ana siasa za ujanja ujanja Kama Jk.......

Na katika siku za karibuni amejitahidi kujisogeza karibu na rais Hadi kumfunika Pinda.......karibuni KIkwete alipokewa airport na makamu,Pinda na Membe......lakini kwenye mpangilio kiitifaki Membe alionekana muda mrefu kuwa upande wa kulia wa rais huku Pinda akiwa nyuma.....kwenye protocol haikubaliki....na it is amounting to misconduct of membe to PM and VP.
Hata kikao cha Leo ....hakuwa na role pale wall hakuwa na muda wa kuhudhuria lakini ili kujijenga kwa Chadema alijitahidi Angalau afanye appearance ......na hapo hapo ...aende kuwazika mapadri.....
Zitto yupo Sahihi kuwasema mawaziri dizaini ya Membe wasiofanya kazi zaidi ya kuuza sura.

Mkuu sijabeza. Kuna mtu amesema ni hadithi nami nikasema kama ni hadithi basi jamaa anajua kutunga kwa kuwa wahusika wote wameuvaa uhusika. Naamini kabisa kwamba hii thread ina kitu na wala si ya kubeza.
 
Ni vibaya sana kama unapendekeza kitu wakati humjui mtu kwa undani bora uweke kimafumbo...Membe ni kichwa na huwezi kabisa kumfananisha yeye na Lowassa hata chembe. Lowassa ni mbora kwa jicho la Mtanganyika ambaye hatawahi kuona mazuri ya viongozi isipokuwa mwizi mzuri nani baina yao..kama sii Membe sidhani kama JK angekuwa akipeta nchi za nje na masifa..

Kusema kweli bila kuficha leo hii ndani ya CCM mtu pekee anayeweza kuongoza nchi (kama ingekuwa nchi ya sheria) na nikampa ridhaa yangu tangulizi ni Dr.Shein. hakuna zaidi yake ndani ya hilo LiCCM lenu. Na kama sii yeye basi Membe. Lakini maadam hawa wote watatawaliwa na system ya Ufisadi siwaoni kuwa na nguvu ya kuweza kukemea Ufisadi hivyo wote hawafai....Kifupi mbio zote hizi zitaishia ukingoni watamalizana wenyewe.

Lowassa ni moto wa kuotea mbali kabisa kwa sababu sifa anazopewa ndizo zile sifa za kina Saadam Hussein.
 
Ni vibaya sana kama unapendekeza kitu wakati humjui mtu kwa undani bora uweke kimafumbo...Membe ni kichwa na huwezi kabisa kumfananisha yeye na Lowassa hata chembe. Lowassa ni mbora kwa jicho la Mtanganyika ambaye hatawahi kuona mazuri ya viongozi isipokuwa mwizi mzuri nani baina yao..kama sii Membe sidhani kama JK angekuwa akipeta nchi za nje na masifa..

Kusema kweli bila kuficha leo hii ndani ya CCM mtu pekee anayeweza kuongoza nchi (kama ingekuwa nchi ya
sheria) na nikampa ridhaa yangu tangulizi ni Dr.Shein. hakuna zaidi yake ndani ya hilo LiCCM lenu. Na kama sii

yeye basi Membe. Lakini maadam hawa wote watatawaliwa na system ya Ufisadi siwaoni kuwa na nguvu ya kuweza kukemea Ufisadi hivyo wote hawafai....Kifupi mbio zote hizi zitaishia ukingoni watamalizana wenyewe.

Lowassa ni mtu wa kuotea mbali kabisa kwa sababu sifa anazopewa ndizo zile sifa za kina Saadam Hussein.

Membe mikono Yake imejaa damu....

Ndimo wake unatema unafiki...

Hana msimamo...

Msaniii...

Arudishe pesa ya Gadhafi ...anayojemgea kiwanda cha cement.....

Atuambie nani alimtuma kutoa kauli dhidi ya Libya....

Anatumia hoja ya ushoga kisiasa ....

Tanzania kuwa mikononi mwa wasaniii kwa miaka mingine ...kumi haiwezekani.....Kama ccm hawautaki urais kupitia wagombea wingine Kama magufuli,sumaye...etc.....wawaachie Chadema urais..kabisa...
 
Mmmhhh, sinema ni nzuri sana nakupongeza mtunzi, lakini story ndo hy, kumbe wote wanaompinga lowasa ni wanafki kwa nn wanasubiri matokeo furani ndo waanike ubaya wa jk na El? Jamani wote mnaotaka urais 2015 mna haki lakini muwezi na kupena site basi, ngojeni tuone mpaka 2013 tutakuwa na matatizo gani kisiasa na kiuchumi ndo 2one ninani anayeweza kukabiliana na hayo?.
 
Kuna watu amewataja kwenye hii na nimeanza kuiamini...
 
Membe mikono Yake imejaa damu....

Ndimo wake unatema unafiki...

Hana msimamo...

Msaniii...

Arudishe pesa ya Gadhafi ...anayojemgea kiwanda cha cement.....

Atuambie nani alimtuma kutoa kauli dhidi ya Libya....

Anatumia hoja ya ushoga kisiasa ....

Tanzania kuwa mikononi mwa wasaniii kwa miaka mingine ...kumi haiwezekani.....Kama ccm hawautaki urais kupitia wagombea wingine Kama magufuli,sumaye...etc.....wawaachie Chadema urais..kabisa...
Ya nani haikujaa damu? Lowassa!... mkuu wangu Membe anaishi kama Waroma wanavyoishi. Membe alipigwa vita sana wakati wa Mkapa na limejaliwa kukutana naye uso kwa uso akiwa hapa Canada. Ni kichwa na nakuhakikishia ni watu wachache sana mimi naweza kuwapa sifa kama hizi. Lakini sio Lowassa ambaye tangu ameingia na JK, watu wasiopungua sita Muhimu sana kwa taifa wameisha ondoka duniani kwa scandal zake tu. Na alleged atrocities hizi haziwezi kuwa coincidences mahala ambapo kuna compiling evidence zinazo m-link yeye..

Ebu jiulize Lowassa leo hayupo madarakani, kama Uwaziri mkuu, Warioba aliwahi kuwa, Malecela, Salim, Sumaye lakini mbona wote hawa waliondoka bila scandals kama zake na wamekaa kimya isipokuwa yeye ambaye hana madaraka yoyote ya kiserikali leo lakini duh... kacheza hadi kapewa wenyekiti wa kamati bungeni.. Anawatishia watu na uganga wa Loliondo, sumu na kadhalika huyu binadamu kweli..

Membe na Libya hata mimi namuunga mkono, ni msimamo wa nchi na protocal na code of African Union kupinga nchi za magharibi kuingilia maswala ya Africa. Na nchi zote za kiafrika zilitakiwa kupinga uvamizi ule hata kama ilikuwa lazima tungetoa sisi uamuzi wa mwisho. Hukubaliani na msimamo wa Tanzania hilo lako lakini ndiovyo ilivyotakiwa na kafanya kulingana na msimamo wetu.

Hoja ya Mashoga imetumiwa na Uingereza na sio Membe. wao ndio wamedai tutambue ndoa za Mashoga wakati wananchi wanakufa njaa, Ufisadi unatawala mikopo yao yote na tumeomba wazuie misaada lakini wakatuona hatuna maana kwa sababu wana interest zao kubwa nchini.. Wasione ubaya ktk Ufisadi unaotufilisi isipokuwa kwenye swala la ushoga ambalo yeye mwenyewe kama Conservative hakubaliani nalo - Huo sii unafiki kitu gani?
 
Safari ya Okonkwo(things fall apart) na jamii inayomzunguka itafika mwisho, na aliye kibaraka atakuwa wazi.
 
Wana Jf

Baada ya kikao cha NEC dodoma Mh MEMBE alimwaaita wajumbe wa NEC wafuatao na Kufanya NAO kikao Nyumbani kwake wajumbe hao ni

NAPE NNAUYE
Capt CHILIGATI
LUSINDE maarufu kwa Jina kibajaji
Makongoro Nyerere
Mzee Samweli sita ambae alifatwa nyumbani kwake akiwa amejipumzisha
Ndg Wilson Mukama

Wajumbe hawa walikutana nyumbani kwa MEMBE baada ya kikao cha nec mzee sita aliwahi kutoka kwenda kupumzika baada ya SUMAYE kuongea.

Katika kikao hicho ukaandaliwa mpango madhubuti wa kupambana na kikwete kwakua hawa jamaa wanaamini Kikwete amewatosa na kuamua kujiunga na Lowasam

Makubaliano.

(1)Kutoa siri za kikwete na hapa hasa mali alizonazo Nje ya Nchi na hapa atakae fanya hii kazi ni Bwana Membe.

(2)Kutunmia urafiki uliopo kati ya Membe na baadhi ya watu ndani ya idara ya usalama kufanikisha Mpango huu.

(3)Mzee samweli sita aanzishe mazungumzo na CHADEMA ama CUF ili kuandaa mpango wa kujiunga na chama kimoja wapo kati ya hivo viwili kwakua Sita ameona kuwa hakuna njia ya kumzuia lowasa kushinda ndani ya CCM.

(4)Kutokana IMANI na matumaini ambayo NAPE alikua nayo baada ya mkutano wa JK na wabunge wa CCM dodoma na NAPE kumfata Bwana Mwigulu akiwa na Chiligati nape amedaiwa kumwambia mwigulu Bwana MKUBWA (JK) ameisha ingia line ameelekea KIBLA tusaidie kesho tummalize huyu lowasa mzee anataka sisi katika kamati kuu tuanzishe kaka usituangushe.

Baada ya hili kutotokea NAPE amedai atahakikisha analipiza kisasi kwa kuanika SMS walizo chat na JK na kuonyesha JK alikua anamtuma.

Mpango wao unalenga kwanza kuonyesha JK haamini,Pia wandai kwakua amewasaliti watamuanika.

PIA Mbunge Ismail Aden RAGE akiwa uwanja wa Ndege wa Tabora Juzi katik VIP akiwa amefatana na Mbunge wa Bukene selemani Zedi alinukuliwa akisema"Nimeongea na mzze sita amesema njia pekee ya kupambana na lowasaa na kikwete ni Nje ya CCM mm najiandaa kuondoka haya ni maneno ya sita ambayo Rage aliyanukuu kwa Selemeni Zedi,na Rage akasema Nadhani mzee sita yupo Sahihi acha aaende JK na Lowasa wote ni Mafisadi.

Wana Jf chanzo cha habari hizi ni mtu aliekua ktk vikao hivo vya dodoma,na Membe na Nape walikutana Protea wakiwa na Jack Gotham na Balozi wa heshima wa Comoro walikutana kuendelea kupanga mikakati kumekua na Vikao vingi sana ambavyo vimeanza kufanyika,na Membe sasa na yeye anjipanga kuanza kutumia makina hivi karibuni na yeye atakua na Harambee ktk kanisa katoliki Magomeni.

Kwahiyo mnyukano CCvM ndo umeanza sasa waliokua watu wa Kikwete sasa wanaanza mipango ya kumuhujumu na kuanza kutoa siri za mali zake zilizopo Uarabuni.

Nawasilisha
Hii ni ile ndoto za mchana kweupe....... crap no. 1
 
Faiza, ahsante sana kwa kunipigia simu na kunitaka nitoe maoni yangu katika hili. Kwa kuwa sina muda mrefu wa kuwepo jamvini ntaingia moja kwa moja kwa nnayoyaona,

Nampa hongera hapo juu aliesema "Lowassa at work". Hivi mnafikiri toka Lowassa alipowachia madaraka ya Uwaziri mkuu alikuwa kakaa tu bure, anangoja nini hatma yake? Hapana. Hajakaa bure.

Lowassa alikuwa yuko "very busy" usiku na mchana na hakuwacha niwa au hila yoyote au hata kanukta kadogo kukapitia katika kujua ni vipi atarudisha heshima yake. Haya ni matokeo ya kazi yake kubwa aliyoifanya, na anarudisha heshima yake kwa njia yoyote anayo ijua. Kaanza na kawaweka sawa waandishi, akawawweka sawa makada, akwaweka sawa mawaziri (hata Sitta kwa sasa yupo nae), usishangae ukisikia na Anna Makinda nae ni mdau.

Tishio kubwa kuliko yote katika kurudisha hadhi yake ni mtu mmoja tu, nae ni Membe, huyu Bernard Membe. Kwa kuwa Membe ana akili kupita kiasi na anafata nyayo za Kikwete, kwa kuanzia kajijenga nje ya nchi ambapo anajua kuwa humu ndani hata afanye nini, nje kama hawamtaki hatofanikiwa. Membe kwa sasa ndio kikwazo cha Lowassa, goli la Lowassa si kurudisha hadhi tu, kurudisha hadhi na kuujulisha uma kuwa yeye ni zaidi ya waziri mkuu. Na menbe gali lake ni kuwa rais wa nchi hii, na kwa kichwa na maarifa aliyokuwa nayo anaweza kuupata urais kiulaini kabisa, tatizo ni maskini na hana fedha na Lowassa anatumia fedha kuhakikisha anakubakika.

Hayo ni maoni kwa yangu kwa ufupi. Samahani jamani, huku nilipo inabidi nialale mapema niamke mapema tunatumia Generator la umeme na imebaki dakika tano kuzimwa na mimi sijamaliza mengi na dakika dakika zina yoyoma. Maasalaam.

Faiza, inshalla naja mjini week end inayo kuja, nakuja kula chakula cha mchana kwako, Ijumaa baada ya salaa, naomba el forno.
JK inaonekana "Katongozwa" na Membe akamtema EL...

Shida kubwa ni kwasababu wote walikuwa mtandao na style yao ni kuchafuana,si mnakumbuka Salim A. SAlim?

Malipo kweli ni hapa hapa duniani.
Kaazi kweli kweli!
 
watz, wamechoka kudanganywa, hata siku fedha walizonazo mafisadi haziwasasidia kuingia ikulu, fisadi wanafahamika na wao wanajua kwa vile hawajawahi hata siku moja kukemea ufisadi hadharani. makampuni yao yote ambao wanao tz tunayafahamu. watapita wapi. wachangie fedha hizo popote makanisani, misikitini au popote, mwisho Mungu tunayemwamini atatuonyesha kiongozi mcha mungu. thread hapo juu ni kazi ya wafuasi wa mafisadi endeleeni muda utafika tu.
 
Mtunzi mzuri sana wa hadithi za manzese!
 
Ya nani haikujaa damu? Lowassa!... mkuu wangu Membe anaishi kama Waroma wanavyoishi. Membe alipigwa vita sana wakati wa Mkapa na limejaliwa kukutana naye uso kwa uso akiwa hapa Canada. Ni kichwa na nakuhakikishia ni watu wachache sana mimi naweza kuwapa sifa kama hizi. Lakini sio Lowassa ambaye tangu ameingia na JK, watu wasiopungua sita Muhimu sana kwa taifa wameisha ondoka duniani kwa scandal zake tu. Na alleged atrocities hizi haziwezi kuwa coincidences mahala ambapo kuna compiling evidence zinazo m-link yeye..

Ebu jiulize Lowassa leo hayupo madarakani, kama Uwaziri mkuu, Warioba aliwahi kuwa, Malecela, Salim, Sumaye lakini mbona wote hawa waliondoka bila scandals kama zake na wamekaa kimya isipokuwa yeye ambaye hana madaraka yoyote ya kiserikali leo lakini duh... kacheza hadi kapewa wenyekiti wa kamati bungeni.. Anawatishia watu na uganga wa Loliondo, sumu na kadhalika huyu binadamu kweli..

Membe na Libya hata mimi namuunga mkono, ni msimamo wa nchi na protocal na code of African Union kupinga nchi za magharibi kuingilia maswala ya Africa. Na nchi zote za kiafrika zilitakiwa kupinga uvamizi ule hata kama ilikuwa lazima tungetoa sisi uamuzi wa mwisho. Hukubaliani na msimamo wa Tanzania hilo lako lakini ndiovyo ilivyotakiwa na kafanya kulingana na msimamo wetu.

Hoja ya Mashoga imetumiwa na Uingereza na sio Membe. wao ndio wamedai tutambue ndoa za Mashoga wakati wananchi wanakufa njaa, Ufisadi unatawala mikopo yao yote na tumeomba wazuie misaada lakini wakatuona hatuna maana kwa sababu wana interest zao kubwa nchini.. Wasione ubaya ktk Ufisadi unaotufilisi isipokuwa kwenye swala la ushoga ambalo yeye mwenyewe kama Conservative hakubaliani nalo - Huo sii unafiki kitu gani?

Hujaongelea hiyo kashfa Yake ya credit shwap. Na pesa ya Libya .....hili joka la mdimu.....

Halafu mambo ya kuaminishwa bila vitendo sasa basi........kufikirika kutuambia eti Membe Ana akili...yes kuliko nani...Huyu KIkwete nde mlitulitea sifa zake za kufikirika ...ooh Ana akili,oooooh ni Nyerere mpya..."etc...wapi bwana ! Tunataka rais wa 2015 awe na record yenye reference....

Tujiulizeni Huyu membe kwenye nchi hiii ni jambo lipi la maendeleo lenye mkono wake wa moja kwa moja kwenye usimamizi....?.....maana hii inafufanya turudi kwa Jk ....kila kitu kiikuwa ni cha kufikirika tu...hakuwa na record hakuwa na nini...akapendwa tu....hata Tukasahau kauli ya mwalimu...aliyetuambia Kama ni sura basi tumalike kunywa naye kahawa!

Urais wa majaribio sasa basi!
 
Sio Pwani?

Ni kweli inawezekana kabisa,lakini haiwezekani asiwe mkatoliki au muislam!hao ndio watawala wa hii nchi,habari ndio hiyo,hatuwezi kuwapa nchi watu tusiowajua waje kujaribu kisa eti safari hii "zamu yao" no way!
 
Hujaongelea hiyo kashfa Yake ya credit shwap. Na pesa ya Libya .....hili joka la mdimu.....

Halafu mambo ya kuaminishwa bila vitendo sasa basi........kufikirika kutuambia eti Membe Ana akili...yes kuliko nani...Huyu KIkwete nde mlitulitea sifa zake za kufikirika ...ooh Ana akili,oooooh ni Nyerere mpya..."etc...wapi bwana ! Tunataka rais wa 2015 awe na record yenye reference....

Tujiulizeni Huyu membe kwenye nchi hiii ni jambo lipi la maendeleo lenye mkono wake wa moja kwa moja kwenye usimamizi....?.....maana hii inafufanya turudi kwa Jk ....kila kitu kiikuwa ni cha kufikirika tu...hakuwa na record hakuwa na nini...akapendwa tu....hata Tukasahau kauli ya mwalimu...aliyetuambia Kama ni sura basi tumalike kunywa naye kahawa!

Urais wa majaribio sasa basi!
Hatubishani, wewe eleza unavyomjua Lowassa/Membe nami nakueleza navyomjua Membe na Lowassa.
Na nimekwambia Membe anaishi kama Waroma wanavyoishi, CCM nchi nzima kila mtu anatafuta kujitajirisha yeye afanye nini? wakati Azimio la zanzibar linawapa ruksa!... Na ndio sababu hatutaki rais anayefuata atoke CCM hata kama akiwa Shein ambaye ni mbora zaidi yao wote lakini naye kisha kavuta kitu kidogo vile vile. Hatutafuta saint kwa sababu hakuna kati yao msafi, isipokuwa mwenye uzalendo hata kidogo ama kutumia akili ya uongozi. Vinginevyo, hata siku moja mtu hawezi kuwa msafi kwa kuoga tope. Membe na wengine wote wanayakoga maji machafu..

Nachosisitiza mimi ni kwamba huwezi kabisa kumlinganisha Lowassa na Membe kwa hali yoyote ile ktk uongozi wa nchi. Lowassa ni hamna kitu anaweza kuwa mfanya biashara mzuri sana na tukajiuliza kati ya yeye na Papa Msoffe nani zaidi, lakini sio uongozi wa nchi. Katika historia ya Tanzania yeye ndiye waziri mkuu wa kwanza kujiuzulu kutokana na scandal za ufisadi na hakuwa hivyo tu hakutakiwa hata wakati wa Nyerere wakati kulikuwepo na matajiri wengi ndani ya chama...Unataka mifano gani zaidi.

Pesa za Libya ndio zimekuwaje?..alienda kuiba huko au?
 
Back
Top Bottom