Mkakati wa Kuingiza Nchi Kwenye Machafuko

Huo mkakati upo na umesukwa kwa kukitumia Chadema ili kuvunja au kuvuruga uchaguzi wa nchi.
Vyombo vya ulinzi na usalama fuatilieni watu hao hadi chooni.
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
 
Attachments

  • 20250501_095314.jpg
    20250501_095314.jpg
    23.5 KB · Views: 24
Ikifika tutaoumia ni sisi na familia zetu na ndugu zetu hao wanaowachochea watakimbilia nje ya nchi ambapo wamepewa uraia wao na familia zao, chama cha siasa hakiwezi kubadilisha maisha yako na kuna njia ya kufuata siyo vurugu
Basi wasikilizeni mkuu, mbona rahisi sana
 
Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde.
🚮
Inawezekanaje kuwa na amani wakati HAKI hakuna?

Amani haiwezi kuletwa kwa kuteka, kuua, uonevu, mabavu, kesi bandia na uovu mwingine.

Watakaoleta vurugu nchini ni wale wasiotaka Haki itamalaki ambao ni ccm.

Kwanini mnaendekeza wizi wa kura?
Kuna shida gani mkikubali kuwepo Tume Huru ili mchaguliwe kihalali wananchi waridhike?
 
Lkn Kuna tetesi zisizokuwa na ushahidi kwamba nchi hii ni Nchi ya Amani na democracy, iweje malalamiko ya kisiasa yaguse Imani za kidini? Inamaana Kuna nadharia za udini, jinsia au chuki? Kwani wachambuzi wa sayansi za kisiasa mpaka sasa kuelekea uchaguzi Kuna lolote la kiutalaam kulingana na maoni yao limetolewa ili tuchambue mawazo Yao na misimamo ya wapiga kura? Bado nipo nyuma ya muda lkn Kuna tetesi kwamba zipo nchi ambazo hazizingatii utawala wa democracy lkn Zina maendeleo mazuri na Amani, ni kwanini nchi za afrika zinakumbwa na migogoro kwa mgongo wa democracy? Kwa maoni ya sauti za maandishi mitandaoni ni dhahili tunapata majibu ya wapi tunakwenda kisiasa lkn pasipo na shinikizo kuchafua wengine ili zipatikane bakshishi za kisiasa,, ni vyema watu wakifata taratibu za tume ya chaguzi ili kila mwananchi apate haki yake anapokuwa peke yake kwenye box la Upigaji kura, sidhani kama kunamtu atashikiwa bunduki au panga kulazimishwa mtu wa kuchagua, itoshe kusema haki ya msingi ipo mikononi mwetu, ni swala la kukaa kimya na kusubiri siku husika fanya maamuzi ukiwa na box la kupigia kura!
 
Kuna uwezekano mkubwa ulikuwa mpango wa CHADEMA kumpiga Padri Kitima na kitu butu. Pia Malasusa anashambuliwa na kina Lema kwa sababu kakataa KKKT kuwa tawi la CHADEMA. Dola isiwachekee hawa wahuni.
With this type of thinking nchi haitokaa iende mbele. Mawazo gani ya kitoto haya dah
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿

Kutokana na hali mbaya Sana ya kiusalama iliyopo hapa nchini kwa Sasa, sidhani kama Propaganda za kuhadaa Watu Kama hizi zinaweZa kufanikiwa. Sidhani, Sina uhakika!
 
C

Comments reserved
 
Sio Tanzania hii, ndio yanaweza kutokea lakini ni kikanda na sio kwa taifa lote, na yakitokea hayadumu kwa muda mrefu, sanasana yanaweza chukua siku moja
 
Kutokana na hali mbaya Sana ya kiusalama iliyopo hapa nchini kwa Sasa, sidhani kama Propaganda za kuhadaa Watu Kama hizi zinaweZa kufanikiwa. Sidhani, Sina uhakika!
Hawa wanadhani wote ni wapumbavu kama wao

Tanzania upumbavu ni kipaji mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini hawezi kulifanya kwa weledi

CCM wanaendesha nchi Kwa kutumia mfumo kandamizi wa unyumbu wa kisiasa ambao unaruhusi wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi, (CCM), hata uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Kunyamaza siyo amani naweza kunyamaza kwakupenda mwenyewe ama kwa kunyamazishwa

Kunyamaza ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities

Hitimisho hapa tulipo fika watu hawawezi kunyamaza Hakuna aliye salama
 
Kama serikali kwanini hamfanyi juhudi za kuwakamata hao watu.... Waliomuua Ally kibao, waliomteka Soka kama sio nyie wenyewe serikali kwa nini hao watu wanaofanya mauaji na utekaji hawakamatwi?
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
Kati ya wanaodai HAKI na wanaokandamiza HAKI ni yupi anayechochea machafuko? Aliye kataa Mabadiliko ya KATIBA ambayo yalikuwa Maoni ya waTz ni nani? Ambaye hataki uwepo wa TUME HURU YA UCHAGUZI ni yupi? Je, huyu si mchochezi wa maovu namba moja? TUJITAFAKARI, TUJISAHIHISHE!

Nchi nyingi zilizoingia kwenye machafuko, wasababishi wakuu ilikuwa ni wale walikuwa madarakani (WATAWALA). Watawaliwa waliwaonyesha kiini cha tatizo, WATAWALA wakaziba masikio, hawakutaka kuona wala kusikia ushauri! WATAWALA wakawaita WATAWALIWA kuwa ni WACHOCHEZI!

TAFAKARI yangu: katiba mpya, na ambayo ilitumia mabilioni ya Fedha za walipa kodi kama ingepita, ingekwaza nini? Nini kinazuia kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI? Tume huru ya UCHAGUZI ina gharama gani ambayo tunaona kuwepo kwake ni HASARA kwa waTz? Nisaidie tu majibu ya maswali haya ndg yangu. Asante!
 
Back
Top Bottom