Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Ndugu yangu bado upo UKAWA ipi wewe maana ulishasema unatoka??
 
Uliyeleta mada ni mkereketwa wa ACT.Kwa taarifa yako,Ukawa haiitaji mtu anayeitwa mamvi.Kumkubali mtu mzee huyu ndani ya ukawa ni kama kuchambia mfuko wa Rambo.

Kwa hiyo Siku hizi mnachambia Mfuko wa Rambo?
 
Mfumo siasa za vyama vingi tanzania ulikuwa na huruma ya mwl nyerere akienda against na matakwa ya watanzania.
Angeheshim matokeo ya maon ya wananch tusingekuwa tunatupa kodi zetu for the so called pesa za ruzuk kwa wachumia tumbo hawa
Mwl. Alataka tuanze kukimbia kabla hata ya kutambaa,matokeo yake ndo haya ya kuwa na upinzan wenye matege.
Tunataka ccm ing'oke ila c kwa mbadala wa upinzan huu tulionao,abadan asilani
 

Sasa baada ya Bw. Lowassa kujitetea Kama mnavyotuambia Mbona mlienda kuitoa list of shame yote kwny Mtandao yenye majina ya kina Kikwete badala tu ya kutoa Jina la Lowassa aliejitetea na kumuelewa?
Jk na Mkapa walijitetea lini mpaka nao mkawafuta Kama mlivyomfuta Lowassa?
 
Duh
 
We noma
 
Huu uzi huu utakuja kuelezea sababu ya kukuwa na kufa kwa chadema ukiambiwa uandike walau essy point ya kwanza kabisa lazima uelezee ni MWENYEKIT WA CDM KUMKARIBISHA EDWAFD LOWASA
 
Mmmm huu ntasoma page to page nataka nione watu walivyolamba matapishi yao
 
Chademaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…