Usimsahau Mzito Kabwela na idawa.Binafsi nafahamu wana-CHADEMA wawili hapa JF ambao hawajapata kuyumba ktk hili; kuna MTAZAMO na meningitis... anyway, I know wapo wengine lakini hao ndo nina uhakika nao! Hawa wengine; hamna kitu... wamejaa mayowe tu na ndio kuna cku nilishawahi kuwaambia hapa; hata cku JK huyu mnayemuita fisadi, cku akiingia CHADEMA, kila atakopita watampokea kwa shangwe na mashada ya maua! Unafiki ulioje!
Ha!ha! wewe kweli comedian.Mods tafadhali fungeni huu uzi,hawa watu sio wazuri wanatucheka kisa tumelamba matapishi yetu.
Vipi mkuu... Bado uko shamba
Hahahaha.... Hivi chadema aliinunua kwa bei gani?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Binafsi nafahamu wana-CHADEMA wawili hapa JF ambao hawajapata kuyumba ktk hili; kuna MTAZAMO na meningitis... anyway, I know wapo wengine lakini hao ndo nina uhakika nao! Hawa wengine; hamna kitu... wamejaa mayowe tu na ndio kuna cku nilishawahi kuwaambia hapa; hata cku JK huyu mnayemuita fisadi, cku akiingia CHADEMA, kila atakopita watampokea kwa shangwe na mashada ya maua! Unafiki ulioje!
BAK ndio mbaya kuliko wote jwa sababu hajui analofanya lina mtia aibu tuuJamaa hana hata aibu. Nakuambia jamaa anaweza kuhamisha magoli huku anakuangalia usoni. Kwa mfano yule anayejiita BAK nae pia ni mmojawapo.
Sema yote kwa yote, kuwa mfuasi mtiifu wa hivi vyama unatakiwa kwanza kwenda hospital kulegezwa screws za kichwani vinginevyo, ni ngumu sana... binafsi siwezi kabisa![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ila mbowe kiboko yaan aliwalambisha wanachama wake malimao jmn
Kweli hata mimi nimeonaLOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
N kweli mara nyingi ni kujifunga fikra uki ingia kwenye vyama, unakuwa u ashindwa hata kujaji vitu kwa usahihi ila unatumia u chama tuuSema yote kwa yote, kuwa mfuasi mtiifu wa hivi vyama unatakiwa kwanza kwenda hospital kulegezwa screws za kichwani vinginevyo, ni ngumu sana... binafsi siwezi kabisa!
Hivi watu mnaoteshwa au ni nini hiki jamani! ndio maana kila post hapa JF naiheshimu maana sijui matokeo yake hapo baadaeJapo ambalo si la siri kwamba kambi zote za wagombea urais CCM zinamuogopa sana Lowassa, hivyo kuna kila aina ya jitihada ya kuhakikisha jina la Lowassa halipitishwi kugombea nafasi ya urais.
Huku wapinzani wakijipanga kukata jina lake lakini Lowassa yeye anaendelea na mikakati yake ikiwa ni pamoja na kugawa fedha kama njugu kwani anaamini yeye ni rais wa Tanzania 2015-2025 "PIGA UA"
Lowassa anatishia kukiua chama (CCM) endapo hata pitishwa kugombea urais.
Wakati huo huo, endapo jina la Lowassa halitapitishwa CCM wanyetishaji wetu wanasema mkakati wa Lowassa kugombea kupitia UKAWA kwakuwa tayari ana mtaji wa wanaCCM wengi hivyo ni rahisi kwake kushinda nafasi ya uraisi.
Inasemekana kuwa tayari Lowassa ameshaanza mazungumzo ya chini chini na viongozi wa UKAWA lakini bado hawajafikia makubaliano rasmi.
mmmh! ila wewe karugila sikuwezi hongera sana ulisema na imekuwa hivyo!Viongozi wakisema mtafuata.
ahahahahahahahahaah, aiseeee! maandishi ya JF hayafutikagi sijui kwanini!Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
ni kweli?Haiwezekani maana hana sifa za upinzani.hatutaki UKAWA iwe tawi la ccm
eti eeee!LOWASSA hawezi bila CCM, Acheni kujidanganya!
JF ni kiboko yao.Japo ambalo si la siri kwamba kambi zote za wagombea urais CCM zinamuogopa sana Lowassa, hivyo kuna kila aina ya jitihada ya kuhakikisha jina la Lowassa halipitishwi kugombea nafasi ya urais.
Huku wapinzani wakijipanga kukata jina lake lakini Lowassa yeye anaendelea na mikakati yake ikiwa ni pamoja na kugawa fedha kama njugu kwani anaamini yeye ni rais wa Tanzania 2015-2025 "PIGA UA"
Lowassa anatishia kukiua chama (CCM) endapo hata pitishwa kugombea urais.
Wakati huo huo, endapo jina la Lowassa halitapitishwa CCM wanyetishaji wetu wanasema mkakati wa Lowassa kugombea kupitia UKAWA kwakuwa tayari ana mtaji wa wanaCCM wengi hivyo ni rahisi kwake kushinda nafasi ya uraisi.
Inasemekana kuwa tayari Lowassa ameshaanza mazungumzo ya chini chini na viongozi wa UKAWA lakini bado hawajafikia makubaliano rasmi.
nina imani ulitekeleza hiliUkawa wakimpokea lowassa ntaipigia kura ccm
Inabidi haya maneno uyameze...LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM