Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Kama unafika mahali unaujua ukweli na bado ukasimamia uongo uliouamini awali basi wahitaji kupimwa akili.


Kwa hiyo fisadi Lowasa ni ,,Ukweli", Duh! Kweli protini zinaharibnu vichwa vya watu, tangu lini binadamu ukweli!
 
mkuu, alisema lini, maana m cjawahi kumsikia...
 
hakuna siku yeyote ambayo lowasa alisema ukweli, ila mnajipa tu moyo kwa kujiaminisha kuwa lowasa hakuwa fisadi..ukweli ni kwamba viongozi wenu walikula mpunga na kumuuzia lowasa nafasi ya kugombea urais kupitia chama a.k.a saccos.
 
Uliyem quote hata hakuzungumzia ishu ya Richmond......kubwa aliloanika ni swala la kutoa rushwa ili kupata uongozi.
UKAWA mkadhihirira kuwa siku zote Mungu hamfichi Mnafiki.....na UKAWA ni Wanafiki nambari one.
 
hatutaki viongozi waliowahi kuliingizia taifa hasara ndo waje huku never on earth, labda awe mwanachama wa kawaida tu na sio kugombea nafasi yoyote ya uongozi vinginevyo arudi huko huko kwa chama chake cha mashetani
Mkuu naona mmekula matapishi yenu kwa comments kama hizi
 
Yaani ni baada tu ya Lowasa kuja Chadema ndo ukagundua Richmond ni ya nani? seriously? Mbona tangu yuko CCM kwenye vikao vya kuvuana magamba Lowasa alikuwa anasema maazimio yote ya Richmond aliyatekeleza kwa kushirikiana na Rais wa wakati huo? Kwa nini haukumwamini wakati huo uje umwamini baada ya kuhamia Chadema?

By the way, kashfa ya Lowasa haikuwa richmond peke yake, amekuwa akituhumiwa kuwa na pesa zisizo na maelezo (Ref Mwl Nyerere); amekuwa akituhumiwa kuwa na uhusiano wa karibu na wapiga dili wa nchi hii (Rostam, Chenge etc); amekuwa akituhumiwa kuwa na mtandao unaosimamia upigaji dili na kuweka watu kwenye nafasi nyeti serikalini (ambao pia ndo ulimweka Kikwete); Je haya yote aliyatolea maelezo gani?
 
W
WENYELE

Viongozi makanisani walikuwa wanapiga kura ndani ya ccm? Kwa nini baadhi ya wajumbe walitoka ndani ya kikao cha Kamati kuu katika mchakato wa mchujo? Usijipe upofu usio kuwa nao.
Walitoka kwa sababu walihongwa.....viongozi makanisani walikua wanampgia magoti awape pesa mfano mzuri ni mchungaji fake aliyebwabwaja hapa Arusha....sjui anaitwa Mshenga ndio aliyemwambia babu mihogo baadhi ya viongozi wa makanisa wamehongwa....Kwa sasa CDM kwa dhuluma hii mliyomfanyia Lowasa kwa zaidi ya miaka 8 itawatafuna mpaka maiti zenu nyum.bu nyie
 
JF haiongopi.
 
Mkuu huyu Tabby ni bonge la mnafiki

Nashukuru msimamo wangu kuhusu EL uko vile vile toka akiwa ccm na sasa hivi baada ya kuja Ukawa. Kama kuna vitu vimenishinda ni kuwaamini wanasiasa walio wengi, sasa hivi mimi najiwakilisha mwenyewe kama mbunge binafsi hapa jf. Mambo mengi nawakilisha mwenyewe bila kusubiri mtu anisemee, na serekali najua inapita hapa jukwaani wanakutana na nondo zangu kama ninavyotaka wazipate.
 
Hawezi kukujibu.....umempa za uso huyu mnafiki Chakaza
 
Baada ya gia kubadilishwa angani watu waliamua kula matapishi bila kuona kinyaa wala aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…