Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

 
 
Yaan comments za mwanzo ktk uzi huu zimenichekesha sana, walikuwa wanamponda sana lowasa wakati yuko ccm ila siamin kama ndio hao hao ambao leo hii wanamzungushia mikono.
 
Yaan comments za mwanza ktk uzi huu zimenichekesha sana,nyumbu walikuwa wanamponda sana lowasa wakati yuko ccm ila siamin kama ndio hao hao ambao leo hii wanamzungushia mikono.

Na hao hao CCM walikuwa wanampongeza sana Lowassa mpaka kumpa kura nyingi za maoni lakini sasa wanamponda. Wanasema ukiujua ukweli utakuweka huru. Lowassa hapo awali hakufunguka na kuweka wazi ukweli, sasa kauweka ukweli wazi watu hawawezi kuendelea na chuki wakati ukweli wameshaujua.
 
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .

Hata mimi nilikuwa na mawazo kama haya hapo awali. Lakini baada ya Lowassa kufunguka ukweli wote na kujua hiyo Richmond ni nini na nani hasa muhusika nilibadili msimamo wangu juu yake.
Binadamu huwezi kumchukia mtu kwa vile umeambiwa ni mchawi halafu ukaja ujua ukweli nawe ukaendelea na msimamo wako uleule. Huo utakuwa ujinga mkubwa, ambao watu wa ccm wanataka tuwe hivyo. After 8 years tumeujua ukweli na ule uovu tuliokuwa tunaambiwa ni wa Lowassa bado uko huko huko wanaendelea nao.
 
Mnafikiiiiiiiiiiiiiiii
 

Wewe lini CCM walimpongeza lowasa? Alikua anahonga makanisani na viongozi....akakatwa na kukimbilia kwenye jumba la mafisadi Tanzania, UKIWA.
 
WENYELE

Viongozi makanisani walikuwa wanapiga kura ndani ya ccm? Kwa nini baadhi ya wajumbe walitoka ndani ya kikao cha Kamati kuu katika mchakato wa mchujo? Usijipe upofu usio kuwa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…