Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Vip bado upo Ukawa unatumia dodoki kumsafisha Lowasa au umeshatoka..?
 
Huwa nafurahi sana kuupitia huu uzi

Makamanda yakitiririka ya moyoni kabisa

Lakini yalivyobadilika ha ha ha

Waliosema manyumbu ni sawa kabisa
 
Huwa nafurahi sana kuupitia huu uzi

Makamanda yakitiririka ya moyoni kabisa

Lakini yalivyobadilika ha ha ha

Waliosema manyumbu ni sawa kabisa
Hayajitambui kabisa mkuu.....haya maviumbe hai akili vichwa vyao vimelindwa na kinyesi km panzi
 
Duuuh..nani kaufukunyua huu uzi?unawaumbua wengi sana humu jamvini.watu walikiuka viapo vyao sababu ya lowassa..hawaaminiki tena.ni aibu kubwa kwa mtu mwenye akili timamu kushindwa kusimamia kile unachokiamini..ni Slaa na Lipumba tu waliokataa kuwa wanafiki..
 
Wakuu baada ya uchaguzi kupita naona tunarudi ktk huu uzi tukiwa "sober" nasema aliyeleta hii taarifa alikuwa zaidi ya mtabiri, alikuwa informer! Na ninashangaa wanaChadema ambao walishindwa kusimamia misingi na matamko yao. Wakakubali kupelekeshwa na Mbowe na kuzungusha mikono.
 
Muwe mnaweka maneno ya akiba angalia sasa unakula matapishi yako.
 

Hapo kwenye Trump toa weka Lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…