Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .

Nakuunga mkono.

Huyu mzee hatufai kabisa.
 
Wengine tulikuwa na msimamo huo miaka yote na tunasema Ukawa wametusaliti! Wamegeuka kuwa wasaka tonge! Wazalendo kama akina Dr Slaa wamekaa pembeni, wale wa maslahi ndo wamejaa tele humo kwa sasa.
 
[/QUOTE]

Hahahaa kuleni matapishi yenu!
Tutafukua makaburi kuonyesha kuwa hamna msimamo ni wasaka tonge! Mtazidi kupata aibu.
Wenye misimamo ya dhati tunaendelea kusema hatuwezi kumpokea fisadi papa na kumsafisha!
Hamuwezi kusema lengo ni kuitoa CCM bila kueleza WHAT DO YOU STAND FOR?
Mkishika nchi labda mtakuwa WORSE than CCM hata hiyo ni change? Hapana mme-fail big time!
 
kapige mswaki kaka maana inaonekana ulikuwa usingizi..

unadhani ukawa ni kwepesi kivile?..
akijiloga akaingia tu ataambiwa akagombee udiwani ili wampime imani km kweli ni kamanda

Hahahahahahahahahahaha, mkuu bado upo hai?
 
Mtoa mada umeongelea Lowassa 'kugawa pesa kama njugu' ili awe rais. Nakukumbusha kuwa UKAWA haihitaji mgombea mwenye sifa kama hiyo! Na siyo mgombea tu, bali haihitaji hata mwanachama wa kawaida tu kuwa na hiyo sifa ya kutoa rushwa.
Kamanda hapa ulikuwa unaongea kama nani?
 
apa tunajifunza kuwa makini na maneno yetu kwa sababu yanaweza kusameheka lakn sio kusahaulika..ila kwa hili hata kusameheka haiwezekan
 

Hongera mkuu kwa andiko lako. Ulichosema kimetimia. Intelligensia yao ipo juu sana
 
ukiona mtu anamsifu mtu mchafu kama Lowassa ujue yeye ni mchafu zaidi raisi ajaye chaguo la watanzania ni DR Slaa pekee yake hana skendo za wizi kama ccm
Wewe Mbowe akikijua utajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…