Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,132
Nachukua nafasi hii kuwapongeza wenzetu wote waliokuwa wamefunga kwenye
huu mwezi Mtukufu, marafiki zangu wa karibu sana pia nawapongeza sana
na ninawatakia sikukuu njema ya Eid
Mfurahie sikukuu huku mkitafakari kwa undani kabisa uzito wa mwezi huu na
mlipoweza kufunga, yale mema yote mliyokuwa mnayafanya mwezi mzima
muendelee kuyafanya,isiwe kwamba mlikuwa mnasubiria kwa hamu siku ifike
ili mrudie yale mabaya pia
Nawaombea Mungu awatie nguvu na kuwabariki kwa mema yote mliyoyafanya
Nawatakia sikukuu njema na msherekee kwa amani na upendo
Mwisho kabisa...title nimeandika tu ila sijui huo msemo unamaanisha nini
na nini chanzo chake....naomba kuchukua fursa hii kuomba kujibiwa kwa
anayefahamu