Mkabila yasiyotahiri wanaume haya hapa…..

Mkabila yasiyotahiri wanaume haya hapa…..

Umejuaje tayari kama hawatahiri ushachunguliwa kibobo chako cha nyuma,POLE KIJANA KWA KUPOTEZA BIKIRA YA MKU*NDU,Badala ya kujadili utajikomboaje kiuchum unawaza magovinda,kwa taarifa yako Wasafwa hatupo hata Oparesheni ya Ondoa mkono wa sweta haikupita kwetu.WE mwanawe GUVINDO Gwa WINYU!
Haaaaaaaahaaaaaaa,,,,,,kwikwikwi!!!!!kohkohkohkoh,!!!nimecheka mpaka nimepaliwa,Lol,,,jamani watu wanapenda kutukanwaeee!! WASAFWA WAMEKUPATAJE????????
Mleta mada umeshavurugwa wewe,

Na mimi naongezea UTAMBALILE HUGUVINDO Alaaaaa,,
 
Wanajamvi, hivi kwanini kabila la wajaluo (Rorya, Kisumu, Gulu, nk) nakabila la wasafwa (Mbeya) hawatairi wanaume? Tupeni makabila mengine yasiotairiwanaume.

Kutahiri ni mila za makabila fulani fulani, na siyo mandatory kama kuvuta Oxygen. kama kuna makabila hayavuti oxygen, then nitaona swali lako la mantiki. Mila za wengine hazitahiri kama zilivyo mila za kukeketa. Mila za wengine kuoa mwanamke aliyezaa ni kashifa kubwa na huwezi simama mbele ya wanaume ukaongea etc, etc
 
hivi ile kampeni ya kutahiri wasukuma na wajaluo wazee iliishia wapi?wakurya tunatahiri kwa sime tena bila ganzi
 
Mimi nipo mzimaaaa...sina hata mpango wowote wa kijichubua...mabinti wanaenjoy game zaidi ya wale waliojipunguza
 
Bwana Entim kawaulize dada zako bila shaka watakuwa waliwauliza mabwana zao wasio tahili watakupa jibu
 
Back
Top Bottom