Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Wasukuma umewasahau
Jaman mi sitaki ugomvi na mtu....hakuna msukuma mwny hilo dude
Wasukuma umewasahau
Hivi wakuu,naomba kuuliza!
Ni kwa nini binadamu tunamkosoa Mungu?Hivi si tunaamini Mungu ni mjuzi wa yote?Kama ameweza kuiumba akili ya binadamu yenye uwezo wa kustaajabisha inawezekanaje ashindwe kuliondoa hilo GOVI?Kama ameumba ulimwengu wenye sayari na nyota na viumbe vyote vilivyomo, alishindwa vipi kuliacha hilo GOVI lisiwepo?
Mie nafikiri wengi mnajadili kwa sababu mna matatizo ya mob sychology tu!GOVI lina umuhimu ndio maana Mungu aliliumba!Wale wote mnaotahiri mtaulizwa mbele ya Mungu, KWA NINI MLIKOSOA UUMBAJI WAKE!
POLENI!
Wasukuma, wanyamwezi nao pia wana 'Mikono ya sweta'
Wanajamvi, hivi kwanini kabila la wajaluo (Rorya, Kisumu, Gulu, nk) nakabila la wasafwa (Mbeya) hawatairi wanaume? Tupeni makabila mengine yasiotairiwanaume.
Daah muombe radhi tafadhali.umejuaje au wamekupitia au ni research gani umefanya tupe na data kabisa ili tukuamini nawasilisha
Daah kumbe na wewe umo?Tukiyajua ili iweje, by the way govinda ina utamu wake haswaaaa.
Tatizo umesema WAITU NA WAHINDI maana hamna namna sasa.We fuatilia mada acha kuni-patronise mshenzzy
Kwenye kulamba koni huwa yanatoa milk chocolate cream ya kiasil.hapana kibanga siyapendi kama nini!
Acha uongo wewe, wamakonde wanatahili tena wanatahili wangali wadogo tu, alafu moja ya makabila ambayo ya mila ya jando na unyago ni pamoja wamakonde. Alafu wamakonde wengi wao ni waislam, kwa Muislam kutahili kwao ni lazima, usiwe kama unaishi Dunia ya zamani ambayo ilikosa mawasiliano, watu wakaishi kwa habari za kufikillika sasa hivi unaambiwa Dunia ni kama kijiji, hii inamaanisha upande wa mawasilliano.wamakonde na wandali
Uchunguzi wa kina kirefu,au vipi?kafanya uchunguzi.