excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,454
- 17,933
Unauliza mambo ya mila mbona kabila lako halitahiri wanawake?
mwanamke anatahiriwa? kwani ana uboo?
Unauliza mambo ya mila mbona kabila lako halitahiri wanawake?
mababu zenu hawakutairi wakato*** bibi zenu wakawazaa baba zenu nao hawakutairi wakwato*** mama zenu mkazaliwa nyie mmekutana na baraka za kutairiwa juzi tu wazungu wamewaletea hospitali mnajifanya mnatukana watu. Learn from history utamaduni wa kutahiri haukuwepo kwenye jamii za kiafrika bali umeletwa na wazungu juzi tu.
Waalagwa (pia wanaitwa Wasi)
Waakiek
Waarusha
Waassa
Wabarabaig
Wabembe
Wabena
Wabende
Wabondei
Wabungu (au Wawungu)
Waburunge
Wachagga
Wadatoga
Wadhaiso
Wadigo
Wadoe
Wafipa
Wagogo
Wagorowa (pia wanaitwa Wafiome)
Wagweno
Waha
Wahadzabe (pia wanaitwa Watindiga)
Wahangaza
Wahaya
Wahehe
Waikizu
Waikoma
Wairaqw (pia wanaitwa Wambulu)
Waisanzu
Wajiji
Wajita
Wakabwa
Wakaguru
Wakahe
Wakami
Wakara (pia wanaitwa Waregi)
Wakerewe
Wakimbu
Wakinga
Wakisankasa
Wakisi
Wakonongo
Wakuria
Wakutu
Wakw'adza
Wakwavi
Wakwaya
Wakwere (pia wanaitwa Wanghwele)
Wakwifa
Walambya
Waluguru
Waluo
Wamaasai
Wamachinga
Wamagoma
Wamakonde
Wamakua (au Wamakhuwa)
Wamakwe (pia wanaitwa Wamaraba)
Wamalila
Wamambwe
Wamanda
Wamatengo
Wamatumbi
Wamaviha
Wambugwe
Wambunga
Wamosiro
Wampoto
Wamwanga
Wamwera
Wandali
Wandamba
Wandendeule
Wandengereko
Wandonde
Wangasa
Wangindo
Wangoni
Wangulu
Wangurimi (au Wangoreme)
Wanilamba (au Wanyiramba)
Wanindi
Wanyakyusa
Wanyambo
Wanyamwanga
Wanyamwezi
Wanyanyembe
Wanyaturu (pia wanaitwa Warimi)
Wanyiha
Wapangwa
Wapare (pia wanaitwa Wasu)
Wapimbwe
Wapogolo
Warangi (au Walangi)
Warufiji
Warungi
Warungu (au Walungu)
Warungwa
Warwa
Wasafwa
Wasagara
Wasandawe
Wasangu (Tanzania)
Wasegeju
Washambaa
Washubi
Wasizaki
Wasuba
Wasukuma
Wasumbwa
Waswahili
Watemi (pia wanaitwa Wasonjo)
Watongwe
Watumbuka
Wavidunda
Wavinza
Wawanda
Wawanji
Waware (inaaminika lugha yao
imekufa)
Wayao
Wazanaki
Wazaramo
Wazigula
Wazinza
Wazyoba
Kama tohara Ni muhimu,mbona kwa wanawake inazuiwa⁉
Punguza ukali wa maneno tafadhali.Kwa mtazamo wako yupi uligundua anakufaa mwenye govi au?
umejuaje?
Hapa naomba unitake radhi.....hawa ndo waasisi wa jando!
Hivi wakuu,naomba kuuliza!
Ni kwa nini binadamu tunamkosoa Mungu?Hivi si tunaamini Mungu ni mjuzi wa yote?Kama ameweza kuiumba akili ya binadamu yenye uwezo wa kustaajabisha inawezekanaje ashindwe kuliondoa hilo GOVI?Kama ameumba ulimwengu wenye sayari na nyota na viumbe vyote vilivyomo, alishindwa vipi kuliacha hilo GOVI lisiwepo?
Mie nafikiri wengi mnajadili kwa sababu mna matatizo ya mob sychology tu!GOVI lina umuhimu ndio maana Mungu aliliumba!Wale wote mnaotahiri mtaulizwa mbele ya Mungu, KWA NINI MLIKOSOA UUMBAJI WAKE!
POLENI!
Kumbe govi lina umuhimu wake.
Nlikua sijui unaweza nsaidia huo umuhimu
Wahehe wa wapi wacha urongo wewe !!
Mkuu ujinga si tusi Bali ni kuto jua hapa unaonyesha ujinga, haya makabila unayajua au umeambiwa?
Mimi nipo mzimaaaa...sina hata mpango wowote wa kijichubua...mabinti wanaenjoy game zaidi ya wale waliojipunguza
Wasukuma pia
Kwa hiyo nchi nzima au!