Mkabila yasiyotahiri wanaume haya hapa…..

wahehe, wanyamwezi, wahaya, fuatilia mradi wa dondosha mkono wa sweta unaofanyika Iringa, Tabora, na kagera kwa msaada ya watu wa marekani
 
then so what? unaacha kujadili mambo ya muhimu kazi kupekenyua mambo ya ndani ya boxer!
 
Yawaaa yani ww biinaadmu natakuleta micheso na miili ya mitoto ya mitu. Ww na akili kuliko sir god. Sir god na mfiniko ile vumbu hapana igia hata kama na ikae inje. Ss ww nafunua na fanya mitu kilema. We acha kitu ya omera na mfuniko yake Nyaako napenda hiyo
 
Yawaaa yani ww biinaadmu natakuleta micheso na miili ya mitoto ya mitu. Ww na akili kuliko sir god. Sir god na mfiniko ile vumbu hapana igia hata kama na ikae inje. Ss ww nafunua na fanya mitu kilema. We acha kitu ya omera na mfuniko yake Nyaako napenda hiyo

wahehe, wanyamwezi, wahaya, fuatilia mradi wa dondosha mkono wa sweta unaofanyika Iringa, Tabora, na kagera kwa msaada ya watu wa marekani

Sasa hivi kuna kampeni inaendelea mkoani rukwa kutahiri wanaume
 
Wanajamvi, hivi kwanini kabila la wajaluo (Rorya, Kisumu, Gulu, nk) nakabila la wasafwa (Mbeya) hawatairi wanaume? Tupeni makabila mengine yasiotairiwanaume.

A cha usengerema umeona wapi mwanaumekukalia umbeya acha watoto wakike waongee wewe wawapi mkuu
 
Wanajamvi, hivi kwanini kabila la wajaluo (Rorya, Kisumu, Gulu, nk) nakabila la wasafwa (Mbeya) hawatairi wanaume? Tupeni makabila mengine yasiotairiwanaume.

Umejuaje tayari kama hawatahiri ushachunguliwa kibobo chako cha nyuma,POLE KIJANA KWA KUPOTEZA BIKIRA YA MKU*NDU,Badala ya kujadili utajikomboaje kiuchum unawaza magovinda,kwa taarifa yako Wasafwa hatupo hata Oparesheni ya Ondoa mkono wa sweta haikupita kwetu.WE mwanawe GUVINDO Gwa WINYU!
 
Wanajamvi, hivi kwanini kabila la wajaluo (Rorya, Kisumu, Gulu, nk) nakabila la wasafwa (Mbeya) hawatairi wanaume? Tupeni makabila mengine yasiotairiwanaume.

Wajaluo siku hizi wanatairi,hasa wa huku tz,zamani walikua hawatairi,baada ya kujichanganya na wakurya walilazimika kutairi maana waliambiwa hawataoa binti wa kikurya kama hawajataili,wasukuma wa bunda hvyo hvyo walijikuta wanalazimika kutairi.
 
Entim kwani zile Kampeni za Tohara za JK (Hakatwi mtu hapa) zilifika Rorya, Kisumu, Gulu na Usafwani????

Wanajamvi, hivi kwanini kabila la wajaluo (Rorya, Kisumu, Gulu, nk) nakabila la wasafwa (Mbeya) hawatairi wanaume? Tupeni makabila mengine yasiotairiwanaume.
 
Last edited by a moderator:
Tukiyajua ili iweje, by the way govinda ina utamu wake haswaaaa.
 
Back
Top Bottom