Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Arusha ajiunga CHADEMA

Mwenyekiti Wa wzee Baba Bonny anasema mageuzi Ni Mungu mwenyewe amekubali nyie Ni mashahidi angalieni maendeleo ya hapo Kenya linganisha na ya Tanzania...
 
Haya ndiyo matunda ya ku-decentralize party structure!! ni mashambuli toka pande zote. Hongera kanda ya Kaskazini tupo pamoja sana!!
Niko kikazi kanda ya kaskazini kufuta ccm
 
Attachments

  • IMG-20150221-WA0051.jpg
    130.8 KB · Views: 241
  • IMG-20150221-WA0048.jpg
    149.7 KB · Views: 233
Joyce Mukya anasema mwezi Wa DEC alifunga kampeni hapa Namanga leo tuna Mwenyekiti ni kutoka Chadema anasema Chadema ni kazi kazi tu hakuna kulala kama Bungeni na kuiba Mali za umma..
 
Mwenyekiti Wa wzee Baba Bonny anasema mageuzi Ni Mungu mwenyewe amekubali nyie Ni mashahidi angalieni maendeleo ya hapo Kenya linganisha na ya Tanzania...
Magamba wameaibika sana leo kamanda Crash
 
Joyce Mukya anasema mwezi Wa DEC alifunga kampeni hapa Namanga leo tuna Mwenyekiti ni kutoka Chadema anasema Chadema ni kazi kazi tu hakuna kulala kama Bungeni na kuiba Mali za umma..
ccm wajiandae kua chama pinzani nchini
 
Joyce Mukya anasema mwezi Wa DEC alifunga kampeni hapa Namanga leo tuna Mwenyekiti ni kutoka Chadema anasema Chadema ni kazi kazi tu hakuna kulala kama Bungeni na kuiba Mali za umma..
Kazi ya ccm ni ufisadi na Rushwa tu
 
Attachments

  • IMG-20150221-WA0054.jpg
    110.9 KB · Views: 140
Yeye ndio wa kwanza kuondoka CCM? Wala hatakuwa wa mwisho, hana madhara yeyote kwa chama wala wanachama wake!
Hata hivyo CHADEMA si mlisema hampokei 'makapi' kutoka CCM?
Chuluu si ndondo na bandubandu humaliza gogo. Wewe dharau tu wakati umekalia tawi linaloendelea kukatwa !!!
 
Tutahakikisha ccm inateketea nchi nzima .
 
Huyu jamaa ana historia ya kusindwa huku Ccm ndio chadema wamemuamini kalaghabaooo.

Wameongeza idadi ya wanywa gongo na hakuna cha ziada kwake kuwepo Ccm aende huko huko.
 
Huyu jamaa ana historia ya kusindwa huku Ccm ndio chadema wamemuamini kalaghabaooo.

Wameongeza idadi ya wanywa gongo na hakuna cha ziada kwake kuwepo Ccm aende huko huko.

Duh! Sungura amasema ..."Sizitaki mbichi hizi..."Pole sana
 
Duuu acje akawa mamluki maana hawa jamaa wananjia nyingi
Akiwa mwanachama tu wa kawaida hakuna madhara. Madhara ya umamluki ni pale akipewa madaraka fulani au akipitishwa kugombea nafasi ie udiwani, ubunge nk.

Pamoja ha hayo, CHADEMA mchunguzeni sana huyu mwanachama mpya aliyevua gamba!
 
mkuu anaitwa Francis Ndipapa ole Ikayo siyo Francis ole okayo .....NOTE THAT
 
Mkuu Arsenal, ni kweli kupata ni kupata tuu hata ni mwanachama mmoja!, hivyo Chadema imegain!, na kupoteza ni kupoteza tuu, hata kama ni mwanachama mmoja, hivyo CCM imeloose!, lakini kwanini uweke hadaa ya mtu ambaye was something kwenye CCM but now he is nothing, kutuhadaa watu humu kuwa he is still something which he is not!, ili ionekane Chadema imevuna kigogo wa CCM!.

Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…