Unamjua kessy, unajua alianzia siasa wapi?unajua alikomazwa kisiasa na chama gani?unayajua yaliyomkuta mpaka akahamia ccm.
Kwa taarifa yako Ally Mohamed Kessy ni product ya chadema, kilimchomtoa chadema ni serikali hii ya ccm, ilimkana kuwa sio raia wa Tanzania, wakamfuata na kumwambia ajiunge ccm, alipofanya hivyo akawa raia wa Tanzania.
Ni mtu mjinga tu ambaye anaweza kupangiwa nini cha kuongea na mwanamume mwenzake! BOrar huyu jamaa kajitoa kwenye utumwa wa fikra!
Ajabu kuna mijitu haipo hata Dodoma sembuse kuwa mjumbe wa kamati itakuja hapa na kusema. Majadiliano kwenye kamati yanakwenda vizuri sana. Hebu ona baba mzima ananyamazishwa na mwanae Ummy!
UKAWA ndo nini
Na wewe ambaye upo dar unajuaje ya dodoma?
Mtoe kwenye unafiki. Ni wabunge wangapi wa magamba wanaoweza kusema alichokisema?bado namuona kama ni mnafiki tu...kama kweli anakerwa na mambo yanavyoendelea angetoka ijulikane moja...tatizo ni kuwa wabunge wengi ni wanafiki sana..
Unalinganisha vipi uwepo wa demokrasia ndani ya CCM na CHADEMA. Imagine huyo mbunge angekuwa wa CDM angeitwa majina yote mabaya na kudaiwa kuwa amehongwa na adhabu yake ni kuvuliwa uanachama. Nadhani CCM imeonesha ukomavu na ustahimilivu wa kisiasa kwa kuruhusu wabunge wake kuwa na misimamo yao tofauiti na CDM ambako ni lazima ufuate msimamo wa chama hata kama unauona siyo sahihi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ubishi hausaidii Tanganyika hiyooooo!!!
AYUPO makini kivipi au ulikuwa unamaa YUPO makini? wewe ndio haupo makini ktk kumuelewa.
Hawa hawamini hata picha kwani wanafiki kwa mwili badala ya akili, moyo ana lingine yaani Tanganyika iwepo lakini kwenye kusaka tonge Tanganyika hapana.
Kwa ufupi hawajielewi na pia nguo zinawabana kwani wanajua kosa lao. Tena wanaogopa kuanguka kisiasa kwa unafiki wao. Dalili zimeanza za hao wasaka tonge kupingana hazarani tuzidishe kumwomba Rab.
Naam! Huwezi kushindana na nguvu ya umma ukashinda hakuna! Mchakato huu hauwezi kuzimwa na siasa chafu haitawezekana, ni.lazima tuungane na kuwaunga mkono ukawa kwani wanafanya siasa safi na utawala bora!
Mnafarijiana kama mateja...!