Mjumbe hauawi, ni Mwamba Heche na si mimi

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 8
Sasa hapo umwamba uko wapi, au ndio uzwazwa
Kwa nyumbu wa Chadema ukiropoka chochote kwa CCM basi wewe ni Mwamba. Ila ukiitwa mahakamani useme uliyoropoka unabaki unalialia. Huyu Heche kakiaibisha sana chama cha Chadema mahakamani. Ila mimi sikushangaa kwasababu Heche kama course mate wangu SAUT na kama jirani yangu Majengo Mapya, Mkolani najua alivyo mjinga, mbumbumbu na mpumbavu asiye chochote zaidi ya kuongea kwa sauti kubwa!
GPA ni gentleman anazidiwa GPA na mke wake aliyekuwa nyuma yetu!
 
Umemaliza au unaendelea!
 
Machoko mmezoea kupigwa miti kwenye makorido ya Lumumba ndio maana wananchi wameyakataa mabasha yenu.
 
Kwa nyumbu wa Chadema ukiropoka chochote kwa CCM basi wewe ni Mwamba. Ila ukiitwa mahakamani useme uliyoropoka unabaki unalialia. Huyu Heche kakiaibisha sana chama cha Chadema mahakamani. Ila mimi sikushangaa kwasababu Heche kama course mate wangu SAUT na kama jirani yangu Majengo Mapya, Mkolani najua alivyo mjinga, mbumbumbu na mpumbavu asiye chochote zaidi ya kuongea kwa sauti kubwa!
GPA ni gentleman anazidiwa GPA na mke wake aliyekuwa nyuma yetu!
Acha wivu kubali tu kuwa ushapigwa gepu kubwaa
 
Sasa hapo umwamba uko wapi, au ndio uzwazwa
🤣🤣🤣🤣🤣

Relax mkuu, ndo akili za minyumbu zilipofikia kaka. Wanasikitisha Kwakweli, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern, amejua kuwashika pabaya
 
Kwa nyumbu wa Chadema ukiropoka chochote kwa CCM basi wewe ni Mwamba. Ila ukiitwa mahakamani useme uliyoropoka unabaki unalialia. Huyu Heche kakiaibisha sana chama cha Chadema mahakamani. Ila mimi sikushangaa kwasababu Heche kama course mate wangu SAUT na kama jirani yangu Majengo Mapya, Mkolani najua alivyo mjinga, mbumbumbu na mpumbavu asiye chochote zaidi ya kuongea kwa sauti kubwa!
GPA ni gentleman anazidiwa GPA na mke wake aliyekuwa nyuma yetu!
Rais Samia (mheshimiwa sana) ana GPA ya ngapi hadi kuwa rais tena kwa 98%
 
Back
Top Bottom