Mjukuu na babu yake

Mjukuu na babu yake

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,806
Mzee mmoja akiwa ametulia nyumbani na mjukuu wake ikiwa ni mida ya darasani, mara ghafla akamuona mwalimu kwa mbali anakuja uelekeo wao...... BABU: jifiche mjukuu wangu mwalimu anakuja kukufuata umetoroka shuleni.
MJUKUU: Jifiche wewe asikuone maana nilimdanganya kuwa nyumbani kuna msiba Babu umekufa kwahiyo akikuona atajua nimemdanganya BABU: Unasemaje........???
 
ah haaa haaa.....................dogo alimtanguliza babu mebele za haki kimya kimya
 
So babu akijificha dogo ndo anaomboleza mwenyewe?? Au hakuna matanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom