Mjue Vickie Makani (Mrs. Bob Makani) aliyehitimu shahada akiwa na miaka 74

Nani alikudanganya kwamba elimu haina mwisho!!??
elimu ina ukomo
Labda huelewi maana ya elimu ndio shida
Lakini ungejua kwanza maana ya Hilo neno usingethubutu kusema Hivyo

Watanzania inawezekana tumeaminishwa vibaya kuhusu suala la elimu

Nenda kaifunze Nini maana ya elimu na unaweza kuiipata vp
 
How watoto wake ulio walist kwann wamepishana majina???
HAYAKUHUSU
ni uamuzi wa mtu na mtoto wake.Nikupe mfano Dr Asha-Rose-Mtengeti-Migiro.Huyu ametoka familia ya kiislamu akaolewa na mkristo akapewa jina la Kikristo Rose akaona hawezi acha asili ya jina lake la kuzaliwa.Hata hivyo pamoja na kuolewa akaona asipoteze jina la ubini wa baba yake mzee Shabani Mtengeti akaona ngoja aliweke.Hakuishia hapo akaona vile ameolewa heshima ya ndoa yake aweke jina la mumewe kama possessor mkuu akaweka Migiro.Ikawa Asha-Rose-Mtengeti-Migiro.Wasomi mambo ya majina huwa sio issue kwao kisa dini au meningineyo so long you remain the same.
Ni maamuzi ya mtu tu.Hata Clay aliona ni jina la kikoloni alivyoamua badili dini akaitwa Mohamedi Ali.Tyson alivobadili dini akawa anaitwa Abubakari japo halivumi sana.Mfano mwingine baba wa taifa baba yake aliitwa Burito lakini mwanaye akawa anatumia Julius Kambarage Nyerere.
Jina halibadilishi mtu soul yake.Ni sawa na kwenye chupa ukiweka mvinyo wa zabibu ukautoa ukaamua kuweka mvinyo wa ndizi ndani ya chupa hiyo chupa itakuwa ile ile tu.
 
hivi utaratibu upoje nikihitaji mke wangu atumie jina langu
Kazi rahisi ndugu yangu mruhusu akachukue mkopo umuahidi utalipa wewe kama kwao alikuwa anaitwa Josephina Semakule na wewe unaitwa Francis Massawe muache akajaze form akirudi zichungulie.
Utakuta zimeandikwa Mrs Josephine Francis Massawe hutakuta jina la baba yake.Na kama akienda kwenye vikundi vya vikoba kule anaitwa Mama Francis Massawe.
Wanawake wametuzidi mbali mno kwa akili.
Ona hata ukifanya mambo ya ajabu utasikia anasema ukifa utaniachaje na hawa watoto hasemi mimi nikifa nitakuachaje na hawa watoto tarajio lake wewe ndio utatangulia na ndivyo ilivyo
 
Kazi rahisi ndugu yangu mruhusu akachukue mkopo umuahidi utalipa wewe kama kwao alikuwa anaitwa Josephina Semakule na wewe unaitwa Francis Massawe muache akajaze form akirudi zichungulie.
Utakuta zimeandikwa Mrs Josephine Francis Massawe hutakuta jina la baba yake.Na kama akienda kwenye vikundi vya vikoba kule anaitwa Mama Francis Massawe.
Wanawake wametuzidi mbali mno kwa hila.
Ona hata ukifanya mambo ya ajabu utasikia anasema ukifa utaniachaje na hawa watoto hasemi mimi nikifa nitakuachaje na hawa watoto tarajio lake wewe ndio utatangulia na ndivyo ilivyo
Ha ha ha!
Chezea mfumo jike!
 
Ha ha ha!
Chezea mfumo jike!
Mh Jidula Mabambasi wewe ni mwanasiasa mkongwe lazima umekutana na mengi.
Mimi kitu ambacho sitakaa nijaribu asilani ni eti kwenda kupima mtoto DNA.Nakaa kimya tu kama fala flani huwezi jua mtoto mmoja anaweza kuwa sio wako lakini yeye anajua mungu alivyo na yake sasa mtoto huyo huyo ambaye ungemkataa akawa wa kukusaidia sana wewe Shikamoo wanawake.
Rejea ya Bill Clinton na Obama
 
Kwa hiyo unataka kusema usukumani ndio hakuna mwanamke mpambanaji kama huyo?
Kwa wale wenzangu na miye msiomfahamu mama huyu toka zamani, kaka yangu Bob alioa jembe.
Tenajembe zuri.
Toka miaka ya sabini nami nilipenda nioe mwamke mzuri wa kinyakyusa kama huyu.
Tatizo nilikuwako kanda ya ziwa.

Huyu Viki alikuwa mzuri, bomba, beutiful, na figure ambayo ilikuwa inapendeza sana.
Halafu alikuwa ile black beuty, hakuna kujichubua.
Uzuri wa jongoo.

Sijui mtoto wake yupi amerithi.
Sijamuona miaka sasa.
 
Umeongea kweli mkuu.
Halafu hilo jina la Mohamed Ali lilikuwa linaniconfuse sana miaka ya nyuma nilikuwa nikilisikia nikafikiri ni Mtanzania kumbe ni Mmarekani huko.
HAYAKUHUSU
ni uamuzi wa mtu na mtoto wake.Nikupe mfano Dr Asha-Rose-Mtengeti-Migiro.Huyu ametoka familia ya kiislamu akaolewa na mkristo akapewa jina la Kikristo Rose akaona hawezi acha asili ya jina lake la kuzaliwa.Hata hivyo pamoja na kuolewa akaona asipoteze jina la ubini wa baba yake mzee Shabani Mtengeti akaona ngoja aliweke.Hakuishia hapo akaona vile ameolewa heshima ya ndoa yake aweke jina la mumewe kama possessor mkuu akaweka Migiro.Ikawa Asha-Rose-Mtengeti-Migiro.Wasomi mambo ya majina huwa sio issue kwao kisa dini au meningineyo so long you remain the same.
Ni maamuzi ya mtu tu.Hata Clay aliona ni jina la kikoloni alivyoamua badili dini akaitwa Mohamedi Ali.Tyson alivobadili dini akawa anaitwa Abubakari japo halivumi sana.Mfano mwingine baba wa taifa baba yake aliitwa Burito lakini mwanaye akawa anatumia Julius Kambarage Nyerere.
Jina halibadilishi mtu soul yake.Ni sawa na kwenye chupa ukiweka mvinyo wa zabibu ukautoa ukaamua kuweka mvinyo wa ndizi ndani ya chupa hiyo chupa itakuwa ile ile tu.
 
Kwa hiyo hadi leo hii wanawake wa Kisukuma bado wapo inferior?
Wanawake wakisukuma sio inferior ila wanaume wao ndio wanawafanya inferior.Hii ilipelekea hata shule walikuwa hawapelekwi kisa waolewe baba apate ng'ombe hili ndio maana viongozi wengi usukumani wa siasa miaka ya nyuma vile wao walikuwa wasomi walitaka kuoa wanawake wasomi wenzao wakawa hawana jinsi wakawa wanaoa wanawake wa mikoa ya kaskazini na Mbeya
 
Sawa mkuu,napenda kujua hiyo hali bado inaendelea hadi leo?wanawake wa kisukuma bado hawapelekwi shule?
 
Sasa kwa nini Bob alimwacha na akaenda kuoa mchaga dada yake Mtei ?

IMG_7770.JPG
 
Back
Top Bottom