Ha! ha ha!Aje ajifunze kufuga panya wa kuwapeleka Afghanistan kutegua mabomu?
Sasa Kama sio wote Mimi hainihusu nilikuwa namjibu Mtu aliyeuliza elimu ataitumia wapiMajibu yako ni monopole na general na sio dipole, mimi nimejaribu kuwa Specific.
Kumbuka sio kila anayesoma elimu ya kiwango, fulani especially in degree levels, huwa anayo nia ya kutumia elimu hiyo bali wengine hutafuta "prestige" tu kwamba wamepata elimu ya kiwango cha degree.
Nimemuelewesha kwamba elimu sio lazima uajiriwe hata kwenye maisha Yetu tutatumia kila siku elimu tuliyonayo
Wewe unataka aitumie wapi? Akili za ndoto za kuajiriwa hizi! miaka 74 bado sana!Sijui hio elimu ataitumia wapi
Wamechanganya. Nadhani ni miaka 64, siyo 74. Huyu mtu hawezi kuwa na umri wa miaka 74, haiwezekani. Labda hii picha iwe ni ya zamani, na si ya sasaView attachment 1637238
Vickie Ambwene Joab Kakuyu Makani amehitimu masomo yake katika chuo cha Tumaini kampas ya Dar Es Salaam akiwa na miaka 74.
Huyu ni mke wa hayati Bob Makani na pia mama yake Grace Makani Tarimo, Tume Anthony Makani, Dr. Julie Makani Simba na Richard Kakuyu Makani.
SwadaktaSasa Kama sio wote Mimi hainihusu nilikuwa namjibu Mtu aliyeuliza elimu ataitumia wapi
Nimemuelewesha kwamba elimu sio lazima uajiriwe hata kwenye maisha Yetu tutatumia kila siku elimu tuliyonayo
Sasa sielewi unachongangania kubishana ba mm NI kitu gani
Kwani kua sehemu nimesema uongo
Na pia usininilazimishe nifuate unachokisema weewe
Maana naona unatafuta kubishana na Mimi unilazimishe unachokisema
Mimi nimetoa mawazo yangu na were toa mawazo yako kivyako
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app