Mjue Vickie Makani (Mrs. Bob Makani) aliyehitimu shahada akiwa na miaka 74

Kwani elimu huwa iinatumika wapi?
Nyie ndio wale wanaofikiri elimu iinatumika kwenye ajira pekee

Mtu ana miaka 74 mzima was afya ashindwe kutumia elimu yake aliyoipata?

Au hujui kwamba elimu haina mwisho na elimu inatusaidia kupambana na mazingira Yetu kila uchwao
Utoto shida sana

What she got is a confirmation that she's a degree. However, if you value education in its pure sense, you don't need to go to school to gain it.
 
Sijui hio elimu ataitumia wapi
Elimu ni ya kujiongezea “ skills set” katika maisha; sio lazima kuajiliwa kama unavyowaza wewe msokile!!

She is trying to be inspirational to her grandchildren I presume; her other motivation might have been to equal the education of her children all of whom have seen the inside of a lecture room!
 
Kwani elimu huwa iinatumika wapi?
Nyie ndio wale wanaofikiri elimu iinatumika kwenye ajira pekee

Mtu ana miaka 74 mzima was afya ashindwe kutumia elimu yake aliyoipata?

Au hujui kwamba elimu haina mwisho na elimu inatusaidia kupambana na mazingira Yetu kila uchwao
Utoto shida sana
Nani alikudanganya kwamba elimu haina mwisho!!??
elimu ina ukomo
 
View attachment 1637238

Vickie Ambwene Joab Kakuyu Makani amehitimu masomo yake katika chuo cha Tumaini kampas ya Dar Es Salaam akiwa na miaka 74.

Huyu ni mke wa hayati Bob Makani na pia mama yake Grace Makani Tarimo, Tume Anthony Makani, Dr. Julie Makani Simba na Richard Kakuyu Makani.
Kwa wale wenzangu na miye msiomfahamu mama huyu toka zamani, kaka yangu Bob alioa jembe.
Tenajembe zuri.
Toka miaka ya sabini nami nilipenda nioe mwamke mzuri wa kinyakyusa kama huyu.
Tatizo nilikuwako kanda ya ziwa.

Huyu Viki alikuwa mzuri, bomba, beutiful, na figure ambayo ilikuwa inapendeza sana.
Halafu alikuwa ile black beuty, hakuna kujichubua.
Uzuri wa jongoo.

Sijui mtoto wake yupi amerithi.
Sijamuona miaka sasa.
 
Sasa kwa nini Bob alimwacha na akaenda kuoa mchaga dada yake Mtei ?
 
Back
Top Bottom