Nimesimuliwa na jamaa yangu ambaye ni mmoja wa wahanga wa taperi huyu!
Huyu jamaa Jonh Alex ana vijiduka vitatu ambavyo hujifanya anauza vifaa vya ujenzi kutengeneza computer pamoja na mabati. maduka yako sehemu ya Kinondoni, Mbezi beach karibu na mateoclub opposite na njia ya kwenda St. marys, pamoja na bunju. Kaandika nembo nzuri kabisa Jonh Alex Enterprises. Anacho fanya ni kukusanya order ya vifaa hivyo na down payment baada ya hapo hulala mbele. Wanao lizwa sana sana ni hasa wale wanao taka mabati ya South africa (aka. mabati ya Ando') kwani huchukuliwa kwa order.
Mshtuko mkubwa alo upata jamaa yangu baada ya kugundua kwamba jamaa anamzengua alipo enda polisi ni pale alipo kuta kila polisi akimfahamu fika huyo jamaa kwamba ni taperi aliye kubuhu, ana kesi zaidi ya nne mahakamani, na alisha wahi kumtapeli hadi afande Tibaigana! kwahiyo jamaa yangu aliishia kuambiwa Pole na polisi kwamba ndo umeisha lizwa! na kwa maelezo yake ni kwamba pale polisi anafahamika kama vile ndo nyumbani kwake!
Nikiwa nakupa onyo ndugu unaye soma hapa usije lizwa kama jamaa yangu, nabaki kushangaa hivi inawezekanaje jamaa taperi anaye sumbua jamii polisi wote wanamjua lakini anaendelea kupeta mtaani na kuendelea sumbua jamii kwa kuwaibia vipesa vyao wanavyo vihangaikia na pengine kuwa wamevikopa?
Hivi yawezekana Tanzania hii hii mtu anaweza amua tunisha kifua akaishi juu ya sheria akiendelea wanyanyasa raia wenzake ili hali vyombo vya usalama vikimjua fika?
Ni rahisi kuleta taarifa hapa ya kusema bwana John Alex ni tapeli lakini ni vigumu kuleta uthibitisho pasi na shaka (beyond reasonable doubt) kwamba mtu huyu kweli ni tapeli.naogopa kuleta mambo ya kumchafua mtu na biashara yake kama hakuna uthibitisho wa kutosha wa haya madai. Naamini kama huyu mtu alifikia hatua ya kumtapeli kamanda wa polisi wa kanda malumu basi asingeachwa aendelee kufanya utapeli wake tena! kidogo hii hainiingii akilini.

Nafikiri kuna umuhimu wa kuanzisha kajigazeti/journal katako orodhesha makampuni, pamoja na wahusika wakuu, ambayo yanahusika katika biashara za kitapeli.
Itasaidia wateja kupata fursa ya kupitia kigazeti hiki kabla ya kushiriki kwenye mkataba na makampuni yoyote - iwe ya ujenzi, uhandisi, ukandarasi, fundi umeme, n.k.
Nafikiria kitu kama Better Bureau Business (bbb.com), ambapo watu mbalimbali watapata fursa ya kuripoti makampuni (na contact zao) ya kitapeli yaliyowahi kuwatapeli kwa namna fulani.
Mkuu Kinyamana, hujalizwa weye.Nenda pale Kinondoni karibu na Biafra sehemu yoyote ukiona vigae vinauzwa, muulizie huyu jamaa na utampata.Ukitaka utibitisha muagize vifaa vyovyote vya kuezeka na utaupata uthibitisho unaouhitaji.
Tumshukuru Mkuu Rwabugiri,John Alex ,ni tapeli wa siku nyingi sana mjini hapa.
Nimesimuliwa na jamaa yangu ambaye ni mmoja wa wahanga wa tapeli huyu!
Huyu jamaa Jonh Alex ana vijiduka vitatu ambavyo hujifanya anauza vifaa vya ujenzi kutengeneza computer pamoja na mabati. maduka yako sehemu ya Kinondoni, Mbezi beach karibu na mateoclub opposite na njia ya kwenda St. marys, pamoja na bunju. Kaandika nembo nzuri kabisa Jonh Alex Enterprises. Anacho fanya ni kukusanya order ya vifaa hivyo na down payment baada ya hapo hulala mbele. Wanao lizwa sana sana ni hasa wale wanao taka mabati ya South africa (aka. mabati ya Ando') kwani huchukuliwa kwa order.
Mshtuko mkubwa alo upata jamaa yangu baada ya kugundua kwamba jamaa anamzengua alipo enda polisi ni pale alipo kuta kila polisi akimfahamu fika huyo jamaa kwamba ni tapeli aliye kubuhu, ana kesi zaidi ya nne mahakamani, na alisha wahi kumtapeli hadi afande Tibaigana! kwahiyo jamaa yangu aliishia kuambiwa Pole na polisi kwamba ndo umeisha lizwa! na kwa maelezo yake ni kwamba pale polisi anafahamika kama vile ndo nyumbani kwake!
Nikiwa nakupa onyo ndugu unaye soma hapa usije lizwa kama jamaa yangu, nabaki kushangaa hivi inawezekanaje jamaa tapeli anaye sumbua jamii polisi wote wanamjua lakini anaendelea kupeta mtaani na kuendelea sumbua jamii kwa kuwaibia vipesa vyao wanavyo vihangaikia na pengine kuwa wamevikopa?
Hivi yawezekana Tanzania hii hii mtu anaweza amua tunisha kifua akaishi juu ya sheria akiendelea wanyanyasa raia wenzake ili hali vyombo vya usalama vikimjua fika?[/QUOTE]
Huo ni udhaifu mkubwa na wa aina yake kwa polisi wetu, sijui Mr Publicity (KOVA) anayajua hayo, sio anaishia kumkamata kibaka mmoja tu wa simu anakimbilia kwenye TV stations na kujigamba, akiambiwa udhaifu wa vijana wake anaishia kuwatetea, oooh ni wazuri kama wapo basi ni wachache tu AIBU hao wachache wanatosha kabisa kuendeleza libeneke la ujambazi.
anayetaka ushahidi kama hajaridhika apeleke vingawira vyake vya FINCA atapata ushahidi
Ni rahisi kuleta taarifa hapa ya kusema bwana John Alex ni tapeli lakini ni vigumu kuleta uthibitisho pasi na shaka (beyond reasonable doubt) kwamba mtu huyu kweli ni tapeli.naogopa kuleta mambo ya kumchafua mtu na biashara yake kama hakuna uthibitisho wa kutosha wa haya madai. Naamini kama huyu mtu alifikia hatua ya kumtapeli kamanda wa polisi wa kanda malumu basi asingeachwa aendelee kufanya utapeli wake tena! kidogo hii hainiingii akilini.
Unataka ushahidi? Kampe advance ya kununua mabati ya Ando halafu utuletee feedback hapa au kaulize polisi Kawe kama ulivyoambiwa.
Lakini kwa tahadhari tu ni kwamba sumu haionjwi