Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Sizinga, tunatofautiana uelewa na ufahamu, kwa kukusaidia zaidi umjue pweza vizuri ebu google.Octopus wikepidia. Jibu utakalipata njoo nalo jamviniMkuu maelezo yako hayajitoshelezi....Animalia ndio kitu gani??kwani pweza ananyonyesha??bora maelezo ya Limbani yanajitosheleza!!