Mjue Mungu wa Freemasonry

Romans 1:22‭-‬24 SUV

"Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika; wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo. Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao."
 
1 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
2 wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
3 BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa.

Vipi kuhusu hao walio waona binti za wanadamu ni wazuri na waka zaa nao?
 
Nitajie mifano ya hizo nguvu unazoweza kuzipata
 
Wakristo mukuje huku kutudadavulia kuhusu huyu malkia wa mbinguni ni nani na wanadamu walimfahamu je hata kuanza kumuabudu kwa kumtolea kafara na dhabihu.
Jambo hili limefanya Mungu kuwalaumu watu hawa na kuwapa onyo dhidi ya kitendo hicho.
Watu wa dini chukueni hatua za kufafanua kabla ya freemasonry kuendelea kutiririka.

Yeremia 7:18
[18]Watoto huokota kuni, na baba zao huwasha moto, na wanawake hukanda unga, ili kumfanyizia mikate malkia wa mbinguni, na kuwamiminia miungu mingine sadaka za kinywaji, wapate kunikasirisha mimi.
.
Yeremia 44:17-19
[17]Lakini bila shaka tutalitimiza kila neno lililotoka katika vinywa vyetu, kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, kama tulivyotenda sisi, na baba zetu, na wafalme wetu, na wakuu wetu, katika miji ya Yuda, na katika njia kuu za Yerusalemu; maana wakati huo tulikuwa na chakula tele, na kufanikiwa, wala hatukuona mabaya.
[18]Lakini tulipoacha kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, tumepungukiwa na vitu vyote; na kuangamizwa kwa upanga, na kwa njaa.
[19]Nasi tulipomfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, je! Tulimfanyizia mikate, ili kumwabudu, na kummiminia mamiminiko, waume zetu wasipokuwapo?
.
Yeremia 44:17-19,25
[17]Lakini bila shaka tutalitimiza kila neno lililotoka katika vinywa vyetu, kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, kama tulivyotenda sisi, na baba zetu, na wafalme wetu, na wakuu wetu, katika miji ya Yuda, na katika njia kuu za Yerusalemu; maana wakati huo tulikuwa na chakula tele, na kufanikiwa, wala hatukuona mabaya.
[18]Lakini tulipoacha kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, tumepungukiwa na vitu vyote; na kuangamizwa kwa upanga, na kwa njaa.
[19]Nasi tulipomfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, je! Tulimfanyizia mikate, ili kumwabudu, na kummiminia mamiminiko, waume zetu wasipokuwapo?
[25]BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Ninyi na wake zenu mmenena kwa vinywa vyenu, na kutimiza kwa mikono yenu, mkisema, Bila shaka tutazitimiza nadhiri zetu tulizoziweka, na kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji; basi, zithibitisheni nadhiri zenu, zitimizeni nadhiri zenu.
.
Ufunuo wa Yohana 18:7-8
[7]Kwa kadiri alivyojitukuza na kufanya anasa, mpeni maumivu na huzuni kadiri iyo hiyo. Kwa kuwa husema moyoni mwake, Nimeketi malkia, wala si mjane, wala sitaona huzuni kamwe.
[8]Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemhukumu ni mwenye nguvu.
.
PIA ITAPENDEZA KUWEKA SAWA UHUSIANO WA KAFARA ZA DAMU NA ONDOLEO LA DHAMBI AU NGUVU KAMA WAPENDAVYO KUZIITA FREEMASONRY. MAANA MSIPODADAVUA KATIKA HALI YA KUELEWEKA WAKAENDELEA NA KAFARA ZAO MTADAIWA DAMU ZAO MIKONONI MWENU WATU WA MUNGU YULE ALIYE JUU SANA.
.
Waebrania 9:15-22
[15]Na kwa sababu hii ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.
[16]Maana agano la urithi lilipo, lazima iwepo mauti yake aliyelifanya.
[17]Kwa maana agano la urithi lina nguvu palipotukia kufa kwa mtu; kwa kuwa halina nguvu kabisa, akiwa yu hai yeye aliyelifanya.
[18]Kwa hiyo hata lile la kwanza halikuanzwa pasipo damu.
[19]Maana kila amri ilipokwisha kunenwa na Musa kwa hao watu wote, kama ilivyoamuru sheria, aliitwaa damu ya ndama na ya mbuzi, pamoja na maji na sufu nyekundu na hisopo, akakinyunyizia kitabu chenyewe, na watu wote,
[20]akisema, Hii ni damu ya agano mliloamriwa na Mungu.
[21]Na ile hema nayo na vyombo vyote vya ibada alivinyunyizia damu vivyo hivyo.
[22]Na katika Torati karibu vitu vyote husafishwa kwa damu, na pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo.
 

Attachments

  • IMG_20211222_120000.JPG
    61.5 KB · Views: 46

Sasa hapa kuna nini chakujiuliza katika kipenge chote cha kwanza huku umeshajijibu tiyari. Ufunuo wa yohane 18:7-8 umetoa maana ya yote yale uliyo-quote kuwa MALKIA ni SHETANI yule joka la zamani a.k.a MWONGO.

Na hapa pia ambitions zake ni hizo hizo kukuzubaisha kuwa ni SOPHIA= WISDOM/HEKIMA mara ngapi amekuwa akidanganya wafuasi wake kuwa kumfuata yeye ni KUPATA ZAWADI YA KUWA NA UPEO NJE YA TULIONAO,

Kumbuka huyu jamaa yeye siku zote ufanya kinyume na MUNGU yaani huyu akiwakilishwa kama mwanaume basi yeye ujinasibisha kama mwanamke, huyu akikataa ushoga yeye u-support, huyu akikataa ibada za sanamu yeye u-support,huyu akikataa mwanadamu asijiushishe na ushirikina au maruweruwe(illuminate) mwenzie ndo kwanza anaubiri tujue nguvu tulizonazo natujikweze kuwa tuko sawa au zaidi ya Baba yetu(Mungu)
Je, si kwa kosa hili yalimshinda na akachapika huko mbinguni mpaka akashushwa huku?

Pia tabia nyingine nikubadili sifa za Mungu au kughushi ukweli wa maandiko na kuubadili kuwa uongo coz huyu ndiye baba wa uongo na Yesu ashatoa tahadhari kuwa atawapekecha kama bua la muhindi lifanywavyo na mchwa lisibakie hata moja limesimama kwani atadanganya ulimwengu mzima (sawa na neno la ufunuo la mwanamke kahaba aliyezini na watawala wote wa dunia akilewa damu ya watu wa Mungu kwenye kikombe cha machukizo)

Pia Mungu asema na watu wake akiwatahadharisha juu ya hila au uongo wa huyu bwana hata kwa wale wakizazi cha tatu na cha nne wasiomfahamu, sasa hapa utajiuliza kizazi hicho kinachozungumzwa ni chakina nani.

Kuhusu damu au kafara (ishara ya kifo au kuondoa uhai wa kiumbe) kama kiungo muhimu kwa ajili ya ukombozi wa binadamu na upatanisho na Mungu mie binafsi silikubali hili na wala si sahihi labda tu kama katika enzi hizo damu ilichukuliwa kama ishara ya agano la Mungu na watu wake ili kuonesha their commitment to him kinyume na hapo nikughushi maandiko nakuyachanganya na upagani hili kuwafanya wafuasi wa imani waloose battle kwa kujiona njia wanayoifatisha ni batili.

(Ndiyo maana waamini tunafananishwa na kondoo katika maandiko daima tunaamini nakufuata mwongozo au anayetuongoza hata kama tunapopelekwa ni katika njia ya machinjioni/mauti)

Binafsi sina imani na biblia yote kuwa haijaghushiwa na huyu shetani na wafuasi wake ikiwa yeye ni mshawishi, mtawala wa ulimwengu huu na kwa asilimia kubwa kwa kutumia akili ya kawaida tu ni dhahiri ana mchango mkubwa katika kuruhusu maudhui haya yatufikie, sasa inawezekaneje akajikaanga mwenyewe?

Huoni kama kuna possibility yale macontradiction waliyaongezea kwenye biblia kimakusudi lengo ni hili hili la kuja kujitetea kupitia ujinga waliouanzisha wenyewe na mtawaamini sawa na walivyowadanganya mwanzo kwenye bustani ile, Yesu anapoonya na kutia msisitizo juu ya atakayeyabadili maandiko hata nukta kutokuwa na msamaha wa Mungu unadhani hajui kama haya yatawakumba waja wake?

Na Je kama maandiko yameghushiwa kidogo au kwa asilimia kubwa nani wakuthibitisha kuwa biblia nitimilifu ikiwa wote hatukuhusishwa au kushika kalamu kuandika wakati maandishi haya yakiifadhiwa?
 
Mkuu Undava nimekusoma na nimekuelewa vyema. Nia yako ni njema katika kuitetea imani ya Mungu muumba wa mbingu na nchi ila ulipotia shaka juu ya baadhi ya maandiko ya bibilia hapo ndio panaleta hojanyingine.
Kwanza cha kujiuliza katika maudhui ya kitabu ni ukombozi wa mtu aliye anguka. Halafu huyu aliyeanguka anguko lake halikubaki kuwa juu yake peke yake bali na kizazi cha uzao wake baada yake. Hili limesababisha binadamu azaliwapo na mwanamke kuwe na sharti la kuzaliwa mara ya pili ili kukidhi kigezo cha kuurithi ufalme wa Mungu. Sasa anguko lake alianguka kutoka wapi na kwa njia ipi? Usipoweka kituo hapa na kutafakari kwa kina utampa adui nafasi ya kuja na tafsiri iliyopotoahwa maana nia yake ni kuzidi kuwashikilia aliyokwisha wapotosha tayari. Agano la kale ni kivuli cha mambo mema yaliyokuwa yaje nayo ni agano jipya yaani Yesu kristo.
Ondoleo la dhambi halikuweza kuondolewa na chochote ila damu katika agano la sheria. Na ili tendo hilo litendeke ni lazima kuwe na kiumbe( mnyama) aliyepoteza uhai. Why? Ni la kutafakari pia.
Kanisa la Mungu limefananishwa kama mwanamke(bibi arusi wa Kristo).
Ufunuo wa Yohana 21:2
[2]Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.
Sasa shetani akijua fika kwamba kuna bibi arusi wa Kristo na yeye katika kuposha anamtengeneza wake. Tumeona huyu anaeitwa mwanamke sii mwanamke katika umbo la kiasili bali ni kusanyiko lenye watu wa jinsia zote. Hivyo kuna makusanyiko mawili moja la Mungu lililo takatifu na jingine ovu lililopotoshwa na shetani.
Shaka langu kwako Undava ni hili la kuhofia kuhusu matoleo ya dhabihu za kafara ya damu. Je hukubaliani na Yesu kuwa kondoo wa sadaka ya toleo la damu ya kafara?
Waebrania 10:5-10
[5]Kwa hiyo ajapo ulimwenguni, asema,
Dhabihu na toleo hukutaka,
Lakini mwili uliniwekea tayari;
[6]Sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambi hukupendezwa nazo;
[7]Ndipo niliposema, Tazama, nimekuja (katika gombo la chuo nimeandikiwa)
Niyafanye mapenzi yako, Mungu.
[8]Hapo juu asemapo, Dhabihu na matoleo na sadaka za kuteketezwa na hizo za dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo (zitolewazo kama ilivyoamuru torati),
[9]ndipo aliposema, Tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili.
[10]Katika mapenzi hayo mmepata utakaso, kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu.
Waebrania 10:6-10
SWALIAMBALO NAPENDA KULIACHA NI HILI, IKIWA MUNGU NI MWENYE UWEZO WOTE NA MMILIKI WA YOTE (HATA SHETANI) KUSUDI LAKE LA KUMWACHA ADAM AANGUKE NA KUANZA RASMI MPANGO WA KUMKOMBOA LILIKUWA NI NINI?
Zingatia uwezo wa kuzuia hilo lisitendeke anao na upo ndani ya mamlaka yake .
 

Unajua, tulivo fundishwa wakristo kuhusu utendaji kazi wa utatu mtakatifu ni kuwa

Mungu Baba anaweza toa agizo , Mungu mwana ana fanya ku-design Hilo jambo kiroho na Roho mtakatifu analizaa jambo Hilo yaani analisababisha jambo Hilo kuwepo.

Ndio maana hata wao ,wamekubali mambo yote kristo yesu alihusika Katika uhumbaji.

Kwa wakristo,
Kuhusu
Roho mtakatifu ndie anayemza mtu Huyo upya,Kwa Mara ya pili,pindi mtu atapomuamini YESU kristo mwana wa Mungu Baba

Kuhusu mambo ya jinsia ya Roho mtakatifu sijui,

Ukweli mwingine utaujua tukifika huko mbinguni
 

Unajua, tulivo fundishwa wakristo kuhusu utendaji kazi wa utatu mtakatifu ni kuwa

Mungu Baba anaweza toa agizo , Mungu mwana ana fanya ku-design Hilo jambo kiroho na Roho mtakatifu analizaa jambo Hilo yaani analisababisha jambo Hilo kuwepo.

Ndio maana hata wao ,wamekubali mambo yote kristo yesu alihusika Katika uhumbaji.

Kwa wakristo,
Kuhusu
Roho mtakatifu ndie anayemza mtu Huyo upya,Kwa Mara ya pili,pindi mtu atapomuamini YESU kristo mwana wa Mungu Baba

Kuhusu mambo ya jinsia ya Roho mtakatifu sijui,

Ukweli mwingine utaujua tukifika huko mbinguni
 
Katika ukristo swala la utatu lipo na halikwepeki. Tatizo linaibuka pale huu utatu unapofanywa kuwa nafsi tatu tofauti ambalo haliwezi kuthibitika kimaandiko. Jambo hili litafanya tuwe na mungu zaidi ya mmjo wanaokubaliana katika jambo moja kinyume na biblia.
Kumbukumbu la Torati 6:4
[4]Sikiza, Ee Israeli; BWANA, Mungu wetu, BWANA ndiye mmoja.
 

Lete muendelezo
 
Mungu mbona harudi km alivo agiza? miaka mingapi leo tunapigika!?.......Lkn Shetani simwanae???........sasa inakuwaje wewe ka-mwanadamu uliyeumbwa kwa dongo, mla vihepe!! umchukie mtoto wa Boss wako??

tena basi wale Shetani na Mungu!! wanapiga story sana mpaka leo! si uankumbuka kisa cha Ayubu???!! na huyo shetani anaijua hiyo biblia balaa!!!........sasa weye kajamba nani unamponda mtu na babae?? tenawaliwahi ishi nyumba moja? una akili kweli???

hivi nani anatamani mwanae ambae ni kibaka, changu doa! jambazi auawe? hata kaka yako tu hupendi!! sasa km weye mwanadamu uko ivo Mungu je?...si ni huruma zaidi??? mara ngapi umeiba mboga. kalamu shuleni, vitabu vya shule lkn Mungu amekusamehe???

still weye mwizi unatamani devil afe !! ! mweee!
 
Source ya content na madini ni wapi yaani umetufungua macho.Tumedanganjwa sana. Freemasonry sio watu wabaya sana
Tumelishwa matango pori.Alafu Mungu wa Israel nae afya kuabudiliwa. Nae Mungu Roho mtakatifu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…