Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,510
- 6,100
Sababu kuu ni u-busy wako au watu kuchanganyikiwa? Kwa maelezo haya manake muendelezo hamna,si ndio? Msiwe hivyo mkuu! Wewe ni Nani mpaka maandishi yako yafanye watu wachanganyikiwe? Malizia story! Wengine tunasoma kama story tu,kutafanyia kazi ni maamuzi ya mtu mwenyewe!!nashindwa kuleta muendelezo sababu nipo busy sana halafu naogopa kuna watu wanaweza kuchanganyikiwa. Kitaani kuna jamaa msabato/mlokole kaokoka mwaka 89 baada ya kumpa ufunuo huu sasa anavuta bangi..
LIKUD
