ur still a learnerKwanza ni kurekebishe,Msabato sio mlokole.Mkuu as long as you believe you can be saved by the law,that is the Torah,including keeping the Sabath,uko chini ya laana ya Mungu,na uko mbali na Mungu.This is the situation with the Adventists,wako chini ya laana ya Mungu.Infact sio Wakristo it is a cult.
Mwisho,inashangaza kwamba unashangilia upotoshaji na uovu wako umemfanya mtu amuasi Mungu wa kweli na kushikamana na uovu wako.Huu ni uovu of grand scale.Hata hivyo you still have time,tubu uovu wako,muamini Bwana Yesu na utapokea uzima wa milele.
mkuu weka mambo...tumesoma wenyewe...nashindwa kuleta muendelezo sababu nipo busy sana halafu naogopa kuna watu wanaweza kuchanganyikiwa. Kitaani kuna jamaa msabato/mlokole kaokoka mwaka 89 baada ya kumpa ufunuo huu sasa anavuta bangi..
Tell me why I am a learner.ur still a learner
Wyatt MathewsonTell me why I am a learner.
Utumwa wa dini unakusumbuaUnaingia kisha unatoka, uweleweki yani unachanganya mno madesa, sasa ngoja nikuelezee kwa hii story yako utaokota wasioijua Bible tu ila kwa wanaojua maandiko uwapati ng'o kwa sababu kuna sehemu aueleweki, na kwa stahili hii Freemasons wamepotea ila nimefurahi kumtambua masihi mwanamume wa wanaume huyo ndio habari ya ulimwengu, na ukiwaona hao madeval warship waambie Yesu ndie njia kweli na uzima....
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Nimeona avatar yako,it has much to be desired.ur still a learner
Unaweza thibitisha kuwa wako sio nadharia?Mungu wa Biblia ndo fact.
Hizo zingine ni nadharia
Mungu wa dunia hii a.k.a Lucifer amewapofusha fikra na akili zenu,hata hamuwezi ku-appreciate the things of the God of Jacob,poleni sana.Utumwa wa dini unakusumbua
Kwa sababu una pumzi ya Mungu,you know right inside you that you are wrong and lost,ni kiburi tu cha uzima kinakusumbua.Come back to ground zero na utubu ili uweze kuokolewa.Remember a time for reckoning or retribution is coming.Unaweza thibitisha kuwa wako sio nadharia?
YesUnaweza thibitisha kuwa wako sio nadharia?
Mkuu huko nikunyimana elimu we nitumie tuni bora uendelee kujua unavyo jua mkuu
Ni shemale?Nope ana part zote mbili ya mwanamke na mwanaume. Ya mwanamke inajulikana Kama Sophia na ya mwanaume ni Aeon.
Okayshemale ni mwanaume aliefanya therapy ili awe kama mwanamke.... google HERMOPHRODITE
Liquid unatuangusha mzee,au umepigwa biti nin(siamini kwenye hili) au kuna desa unapewa na mtu mwingine?shemale ni mwanaume aliefanya therapy ili awe kama mwanamke.... google HERMOPHRODITE