Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,212
Mafundisho yatakuja mengi sana siku za mwisho nazo ni fupi sana.
sijui anafeli wapi ila mimi nitaleta muendelezo
Karibu ndugu yangu.sijui anafeli wapi ila mimi nitaleta muendelezo
Umemaliza kila kitu mkuu barikiwa sanaFreemason wanamwabudu Lucifer aka Satan, Sasa Ibilisi ndio katunga hiyo story ya kuziunganisha dini zote, kamtaja Kristo wa waprotestant, kamtaja Sophia aka Maria wa wakatoliki, kamtaja Huyo jamaa anayesema hakuzaa Wala kuzaliwa aka Allah ili kuwavuta muhamaddans, ili wote wamkubali Lucifer Kama most high God, no no no Shetani ni baba wa uongo, kweli ni Yesu tu
Umenena vyema.Ukimtazama Allah wa waislam kwa jicho la biblia unamuona Allah wa waislam ni shetani yaani ni mpinga kristo, maana Qur'an inasema Yesu hajasurubiwa na wala Mungu hana mtoto, sasa kwa mujibu wa biblia haya ni mafundisho ya mpinga kristo au ya kishetani.
Hii ni kwa mujibu wa nini?utatu mkuu ni imani z a freemason je na ww ni miongoni mwao
Usisahau Roman Catholic hao ni ant Christ from the beginningUmenena vyema.
Islam ndiye mpinga Kristo anaezungumziwa kwenye BIBLIA.
kile kitabu ni kazi ya yule MUOVU .. Ili kupoteza watu akaamua kuchangia ya KWELI NA UONGO.
Naona Shetani yuko kazini, umejaribu kushawishi sana kuwa freemasony ni wazuri,nakukumbusha tu kamwe uwezi ubadili ukweli unachoweza ni kuuficha tu, by the way umesema kuwa binadamu wengi hawaelewi wametoka wapi na ni wapi wanakoelekea this is your point of weakness ukijitambulisha kuwa ujielewi that is y ukamezeshwa vya uongo,Natamani utumike vizuri kwa Yesu kwani you have mobilizing power uenda ungetumika ungeokoa wengi, Roho yangu inaumia sana kuona unatumika kupotosha,May God Change you in the Name of Jesus