Mjue Mungu wa Freemasonry


Balaa sana hawa mafirimason wa buza
 

Umeandika ujinga wa kisabato wa kutosha ambao hapa hatuuzungumzi
 
Umeandika ujinga wa kisabato wa kutosha ambao hapa hatuuzungumzi
Sijawahi kuzingatia tafsiri ya Wasabato juu ya unabii wa kitabu cha Ufunuo, zaidi ya ku "unlock codes" ndani ya Biblia yenyewe yenye "interlocking code". Naomba tu utambue ya kwamba, baadhi ya mafunuo yao nakubaliana nao kwa 100% lakini pia mengine huwa sikubaliani nao kwa 0%.
 

Sasa hapo ume unlock code ipi msabato
 
Huu ni upotoshaji wa kawaida wa Shetani tumeuzoea,
only a fool and loon can believe this nonsense.

The truth is the God of Israel is the creator of everything. Bila yeye hakuna kitu ambacho kingeweza kuwepo.This is the God who created Adam,na kwa kupulizia pumzi yake hai,Adam akawa kiumbe hai with a body,soul and spirit.It is in the Spirit where the mind is located.

Shetani alichofanya ni ku-block mawasiliano kati ya akili ya mwanadamu na roho yake,ambayo ndiyo inayoweza ku-communicate na Mungu. Kwa kufanya hivi aliweza kuteka akili ya Adam through telepathic commmunication.In this way Satan was able to change Mans' faith imuelekee yeye pamoja na maagizo yake.Kumbuka kwamba akili ndiyo inayo control mwili,so if you control the mind you control the body as well.
 
wacha bana
 
Ndefu mpak sasa bado sijamliza
s
 
nashindwa kuleta muendelezo sababu nipo busy sana halafu naogopa kuna watu wanaweza kuchanganyikiwa. Kitaani kuna jamaa msabato/mlokole kaokoka mwaka 89 baada ya kumpa ufunuo huu sasa anavuta bangi..
Kwanza ni kurekebishe,Msabato sio mlokole.Mkuu as long as you believe you can be saved by the law,that is the Torah,including keeping the Sabath,uko chini ya laana ya Mungu,na uko mbali na Mungu.This is the situation with the Adventists,wako chini ya laana ya Mungu.Infact sio Wakristo it is a cult.

Mwisho,inashangaza kwamba unashangilia upotoshaji na uovu wako ulio-mfanya mtu amuasi Mungu wa kweli na kushikamana na uovu wako wa kuvuta bangi.Huu ni uovu of grand scale.Hata hivyo you still have time,tubu uovu wako,muamini Bwana Yesu na utapokea uzima wa milele.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…