Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,441
- 5,743
unamsingizia bure tu bwana yule mwenyewe ndio tatizo hana uwezo wa kuongoza ana uwezo wa kutawala tu ndio maana anatawala tu ila hawezi kuongoza , 2020 sio mbali tutajuana tu safari hii hata wakiiba na sisi tunaiba ,safari hii wao ndio wanaibiwa
Naafikianana wewe kabisa bwana yule hana uwezo wa kuongoza ana uwezo wa kutawala.....
Ni sawa kuna wanaume hawana uwezo wa kuongoza nyumba wana uwezo wa kuwa baba tuu anabisha aniulize nimwambie....