Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,953
- 3,459
Dr. Mpango is not smart guy
Kama raisi anataka nchi iende vizuri amrudishe likwelile
Yule jamaa aio tuu ana akili bali ni master minder mzuri very strategic and focused
Ni sawa na kusema unamuacha messi mazoezini na kumchukua giloud kwa maandalizi ya uefa halafu unataka ashinde
Mesi (likwelile) haitaji mazoezi makali ili afunge anacho hitaji ni kuona gori liko wapi kisha afunge
Exeptional people wana enda kupotea katika uso wa dunia akiwepo Likwelile
Mh rais tunakuomba umrudishe Likwelile