Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,690
[emoji41][emoji41][emoji41]Unamuonea Mpango.
Tatizo kubwa kabisa ni ccm ikifuatiwa na magufuli.
[emoji41][emoji41][emoji41]Unamuonea Mpango.
Tatizo kubwa kabisa ni ccm ikifuatiwa na magufuli.
Atiwe moyo mtu anayesema yeye hataki ushauri?Jamani rais wetu sio malaika kukosea kupo mtieni Moyo
Magufuli sisi wengne tumekuchagua binafsi tunakumbuka uwezo wako kwenye wizara ya ujenzi.
Anaitwa na sio anautwaAnautwa Philip Mpango na si Philip Mipango.
Na wa nne Angela KairukiWa kwanza Gavana wa BOT
Wa pili Wazr wa fedha
Wa Tatu timu ya ushauri wa Uchumi, Ikulu
Na itafika mahali tutaelewana tu! Wakati ukuta!Mpaka wote tuimbe wimbo mmoja,
Mkuu umenena...!Uko sawa kabisa, ila tatizo la Mkuu binafsi ni kwamba mwenyewe hapendi watu matajiri, na kila Siku anataka waishi kama mashetani, kumbe inatakiwa ajue 100% ya masikini mlo wao unategemea matajiri, that mean, matajiri wakiishiwa pesa basi ujue utazika masikini wote kwa njaa,
Wape ukweli wao ndugu. Nakubaliana na wewe 100 pasenti.Waswahili watu wa hovyo sana wako kama wawinda ndesi, kila mtu anapiga mluzi, hata asiyekuwa na mkuki nae anafyatua miluzi,
wakati wa mkapa si ndio mlisema anauza mashirika kama njugu, na jk si ndio mlisema legelege na dhaifa mkamwita vasco dagama mla bata, wakati wake mkaita pesa yetu madafu, kaja jiwe nako miluzi ileile, nyoko
Taarifa za kwenye maandishi zinapokinzana na hali halisi ya maisha ya Mtanzania, huwa napata shida kuuelewa uchumi wa kwenye makaratasi.Tanzania tupo kwenye recession? Takwimu inaniambia mwaka 2015 tulikuwa kwa 6% mwaka 2016/17 tunakuwa kwa 7% na hii ni kwa mujibu wa takwimu za ndani na nje ya nchi, sasa hiyo recession inatokea wapi? Au unajiandikia tu maneno bila ya kuelewa maana yake?