MJUE Lowasa


mkuu kwa taarifa tu, mimi sio ccm wala siikubali kwani inanuka rushwa na mtowaji mkubwa ni lowasa.

Ungerudi kwenye maja ingekuwa vzr badala ya kuleta ngonjera.
 
NO RESERCH NO RIGHT TO SPEAK SO WE SHOULD LOOK THE FACT OF THESE



ungekuja na reserch ya kupinga niloyaandika ingekuwa vzr.

Naamini hata nyerere alikuwa anayajua haya ndiomana akasema lowasa sio msafi.
Au na nyerere hakufanya reserch ya aliyoyaongea?
 
kuna watu wanaojua chanzo cha utajiri wake wanaweza pia kutoa mwelekeo. kama kauza ng'ombe wa kimasai tujue

hivi ukiuza ng'ombe wangapi unaweza kumwaga fedha kwa makada wote wa chama, kuanzia wilaya, mkoa, mpaka taifa?
 
Mbali na utajiri wa kurithi kwa taarifa yako pesa nyingi kaipata kwenye uuzaji wa tanzanite,hizo za kuhusishwa na ufisadi ni kidogo sana,hamna kama yeye ndani ya c.c.m nzima

Hapo kweny RED hapo! Mnakuza tu habari za kurithi. Ingekuwa kweli Mwalimu Nyerere asingeshangaa kuwa EL ni tajiri, lakini naye aliutilia mashaka utajiri wake wa ghafla! Hivi unafahamu wakati mafuriko yale ya Mtwara na Lindi (sikumbuki mwaka) EL alikuwa waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu? Ni wakati huo basi jamaa alipo "piga" mifweza ya Msaada kwa waathirika! Najua utabisha lalkini ukweli ndo huo!
 
mkuu kwa taarifa tu, mimi sio ccm wala siikubali kwani inanuka rushwa na mtowaji mkubwa ni lowasa.

Ungerudi kwenye maja ingekuwa vzr badala ya kuleta ngonjera.

Maja ndo nini?? Unaandika kama uko kwenu machame kwenye klabu ya gongo??
 
Hakutaka kuisumbua mahakama na bunge akaamua kujiuzulu tofauti na wengine mpaka walazimishwe, Ana roho ngumu na ni mafia no:1 tz,anaweza ku guarantee pumzi yako in minute.
 

hana uoga wala aibu (ukauzu)
 
ukada wako hausaidii kitu,kama unataka kumsafisha wewe toa sababu za kumsafisha kama ni uchafu ananuka na wala simfano wa uongozi bora.
Iwapo mwenyekiti wa chama chenu mwenyewe analalamika kuhusu rushwa na wapambe wa Lowassa ndiyo wanaoaminika kujipanga kwa rushwa,na rushwa si kigezo cha uongozi bora,ameshindwa kueleza kuwa hajahusuka na Richmond na ni nani aliyehusika,halafu mtu mwenye uchungu na nchi yako anayesema ukweli unamuona na majungu?Tatizo kawahonga hela nyingi!nuts
 
He is a bloody blood sucker. Hata hivyo anajidanganya akidhani na watanzania watadanganyika naye. Siamini kama atakuwa hai hadi kufikia uchaguzi. Who knows? May God intervene and save our nation of the hyenas and jackals hellbent to become our rulers.
 
Maja ndo nini?? Unaandika kama uko kwenu machame kwenye klabu ya gongo??

Acha hasira dada, jibu hoja, usilete porojo.
Unaweza kueleza mazuri yake au kukanusha niliyo yaandika.
Kama huna cha kuchangia bora kunyamaza.

Hata hivyo umenikumbusha nyumbani kwasababu mimi ni wa machame.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…