Kocha wa Galaxy: Msimu ujao Simba wabadilishe kikosi wachezaji ni wazee

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
16,691
25,662
"Msimu ujao Simba italazimika kubadili nusu ya timu kwa sababu ya mambo mengi, umri ni moja wapo".

- Morena Ramoreboli, Kocha wa Jwaneng Galaxy

#FutbalPlanetUpdates
#CAFCL
π™†π™Šπ˜Ύπ™ƒπ˜Ό π™’π˜Ό π™…π™’π˜Όπ™‰π™€π™‰π™‚

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nawashangaa Simba SC wametangaza kufanya kisasi na sisi Jwaneng Galaxy kwanini wasifanye kisasi cha kufungwa mabao 5 (na Yanga) Kwanza waliyofungwa hapa !! Sisi hatufahamu mambo ya kisasi na badala yake tumekuja kutafuta ushindi"

Morena Ramoreboli
Kocha wa klabu ya Jwaneng Galaxy

Hivi mnajua english kweli? Hzo tafsiri mmezitoa wapi?
 
"Msimu ujao Simba italazimika kubadili nusu ya timu kwa sababu ya mambo mengi, umri ni moja wapo".

- Morena Ramoreboli, Kocha wa Jwaneng Galaxy

#FutbalPlanetUpdates
#CAFCL
π™†π™Šπ˜Ύπ™ƒπ˜Ό π™’π˜Ό π™…π™’π˜Όπ™‰π™€π™‰π™‚

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mkuu sis ako hajambo?

Na shemejio naye mzima?

Vipi na wewe hujambo? Bado upo kwa shemejio umetanua miguu kwa sofa na kupost ya Jwaneng au upo avic town kubeba mabegi ya Jwaneng?

#daimambelenyumamwiko
 
Back
Top Bottom