Mkuu;
Hebu fafanua kidogo. Tatizo ni kuwa watu hao wawili wamependana kwa sababu wanakaa kwako au?? Je, ka mmetoka kijiji kimoja na mkeo, huoni kuwa hata wakiondoka hapo kwako bado mahusiano yao yataendelea??
Achana nao, sana sana chunguza tu, ka huko ulikooa na huko atokako mamdogo wa mkeo kama kuna gonjwa baya la kurithi mpe ushauri mpwa wako aachane naye.
Jamaa mmoja kasema; Kumbe penzi ni tamu kuliko mirinda nyeusi. We utamzuiaje aliyeko kwenye penzi?? Wasaidie wakolee hadi pingu za maisha