msumbufu
Member
- Apr 21, 2011
- 9
- 1
Ki-ukweli kaka wengi wanasema mengi kuhusu tabasamu lako na uvivu wako katika kukemea na kufuatilia bila kumuachia pumzi kwa yule unaye mbana, mimi nimefahamu sasa kuwa vyote hivyo ni kutokana na wewe kuwa ndivyo ulivyo nothing to change. kwahiyo tuahidi tusitegemee lingine ilitujue huna jipya mpaka utakapo maliza mafunzo yako ya miaka mitano. dah! shilingi yetu kwisha kazi ila nakumbuka ulijipigakifua na kusema tumeachwa vizuri ktk mengi na yule aliyekutangulia ktk mafunzo hayo ambayo mnapokezana, sasa sijui kama nawe utamwacha vzr ajae kwa madeni haya ambayo hayalipiki kirahisi.