Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

Mzee wa bugarama juzi kamchana aache ufala yule wa kule kwa wacheza ndombolo alisema akipita tu kwenye box la kura anamvaa ngoja tuone
Pk kajitengenezea maadui kila kona,cha kusikitisha hadi watutsi wenzake anawaandama pia,it seems siku zake aziko mbali,nakumbuka hapa TZ kabla ya utawala wa magu kuna mnyarwanda aliniambia uhuru wa rwanda utatokea TZ,ila alipoingia magu mambo yakabadilika,fdrl alipoingia magu tu wakawa wadogo mno
 
Paka ni mtu hatari sana.Lakini hii ni hulka ya viongozi wengi wa bara hili la kiza.Mikono Yao imejaa damu na njia zao ni mauti tu.

Rwanda ni taifa ambalo limegawanyika katika mifumo ya kitaba,kiasi kwamba ni watu wasioaminiana hata kidogo na mioyo Yao imejaa visasi.
 
Paul Kagame amezidi kuua watu wanaomkosoa, nchi ya Rwanda siyo mali yake binafsi Bali ni mali ya Wanyarwanda wote kwa ujumla wake.
 
Professor MWAIKUSA!!! Membe mnasingizia huyu wamepita nae ccm wenyewe wasiompenda Vasco Dagama kwani alikuwa anamtayarisha MEMBE awe running mate wa mama Abdul 2025!
Profesa alikuwa gwiji na Mentor Mkuu wa kumshauri Bw. Mchungaji "Mtanganyika" ambaye alikuwa haitambui Zanzibar. Mchungaji "Mtanganyika" aliwachachafya sana "wakubwa/wazee wa kaya" na makesi yake mengi mengi ya miaka nenda rudi. "Wazee wa Kaya" walikuwa wanaragazwa vibaya sana na Mchungaji " Mtanganyika" kutokana na usaidizi mkubwa aliokuwa akiupata kutoka kwa Profesa. "Wazee wa Kaya" walipoona wanadhalilishwa sana mara kwa mara kwa kugaragazwa na Mchungaji "Mtanganyika" hususani kwenye like suala lake aliloshikia bango zaidi la Katiba mpya na Mgombea binafsi, basi "Wazee wa Kaya" wakaona isiwe tabu, afadhali wawaondoe watu hawa wote wawili pamoja na wengineo ambao walikuwepo kwenye huo umoja umoja wao ili kupunguza kero ya wao kudhalilishwa na kugaragazwa mara kwa mara.
 
Kusummury ndio kufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…