Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

Mtamwonea tu mjomba wa watu.
Hana baya na mtu.
Anaipenda nchi yake.
Anaijenga nchi yake.
Anawapenda sana watu wake.
Tuache wivu.
 
Mjomba Abby ndio Nani...

Tamathali za semi hizi
 
Una shida braza.....
 
Anavyofanya PK ni sawa kulisha pipi mtoto mwenye njaa. Anatumia mabilioni ya fedha kulob hayo matamasha, conference,udhamini n.k

Je impact yake kwa raise ipo vipi?
 
Kweli kabisa Mkuu.
We need Kagame's leadership style
 
Anavyofanya PK ni sawa kulisha pipi mtoto mwenye njaa. Anatumia mabilioni ya fedha kulob hayo matamasha, conference,udhamini n.k

Je impact yake kwa raise ipo vipi?

Hiyo ni tourism inayojitegemea mkuu, fikiria delegates wanaofika na matumizi yao lakini pia, kutangaza fursa zilizopo kwenye nchi husika katika kuvutia uwekezaji. Kuna faida nyingi sana
 
Huko wanalia Huko wanalia na mjomba wao KP, ila sisi huku tunalia na dude letu MCC
 

mkuu you have no idea!!
Hizo si effort za rwanda persee
unajua NBC news ni america media muda wote ina promote rwanda na rwanda economy impact yake inawavutia wananchi wa ulaya kuvisit rwanda
-Rwanda inawatumia UK and other agencies kuclean image yake (hutasikia habar za kutekwa na kupigwa risas watu nchini humo zikitoka why?? ndo kazi yao hyo

Tofautisha propaganda na uhalisia wako vizuri kwene lobbying but sio wao wanaelekezwa na kuna deep state inainfluence decision
 
Duuih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…