Soko la wajinga walishaliteka wamasai.kwann nijitesa wakati SOKO rahisi lipo la wajinga wengi?
Wamasai hawajaliteka kiasi hicho ni kama 5% tu ya soko, huku mwamposa na wenzake wakchukua 20% na tiba asili wengne ni 5% tu, huku idadi ya wajnga ikiongezeka kwa rate ya 5% kila siku kwa soko bado kuuuubwaaa sana niwewe na akili yakoSoko la wajinga walishaliteka wamasai.
Na wewe Tafuta mbinu yako
Pole sanaNkajpange upya? nyie ndo mnakufa maskn kwa kutegemea mshahara wa kanjbai
Ukiachana na mwamposa. Unataka kunambia wamasai Wanapiga pesaWamasai hawajaliteka kiasi hicho ni kama 5% tu ya soko, huku mwamposa na wenzake wakchukua 20% na tiba asili wengne ni 5% tu, huku idadi ya wajnga ikiongezeka kwa rate ya 5% kila siku kwa soko bado kuuuubwaaa sana niwewe na akili yako
Poleeee aseeeeh.M n kobaz hyo kaz swez fanya labda vjana wa papa ndo wafanye
Ukitoboa Nishtue niwe wakala wako wa kusambaza mikoani😎👍Kwan nam nmesema ntatembeza kama masai? ungeulza ntafanya kwa namna gani na ukubwa gani kwanza