Mjini kuna mambo

Mjini kuna mambo

[emoji28][emoji28][emoji28] mjini pagumu sana siku hizi, imekua ngumu hata kukiamini kivuli chako mwenyewe
 
[emoji28][emoji28][emoji28] mjini pagumu sana siku hizi, imekua ngumu hata kukiamini kivuli chako mwenyewe
Sasa kama mimi nimesimama gengeni nabembeleza nipunguziwe bei ya mchicha,chenyewe kimesimama buchani nitakiamini vipi bwana mkubwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom