KERO Morogoro Mjini, Kihonda kuna changamoto ya barabara

KERO Morogoro Mjini, Kihonda kuna changamoto ya barabara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Morogoro Mjini, Kihonda kwa chambo kuna changamoto ya Barabara kutoka kwa chambo kuelekea Maduka kumi, hili ni Jimbo la Abood, tunapata changamoto kubwa wakati wa mvua.

photo_2026-05-03_14-30-49.jpg
photo_2026-05-03_14-30-52.jpg
 
Vipi Lukobe kunaingilika?
Abood ameacha kutoa lile basi lake chakavu kwa ajili ya misiba? Siku akiacha kuwapa Waluguru basi la bure la kuzikia, ndiyo barabara zote za Manispaa zitatengenezwa kwa kiwango cha lami kama zile barabara za Manispaa ya Iringa.
 
Back
Top Bottom