mjini form 6

mjini form 6

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
WATU WA MJINI WANASEMA
UKIJUA HUU WENYEWE WANAJUU
HUKU.SOMA HII
Mume flani kamuaga mkewe
kuwa anaenda semina
Uganda kwa wiki nzima, kumbe
kahamia
kwa demu flani nyumba ya pili
toka kwake.
Siku ya kwanza akalala asubuhi
alipoamka
akachungulia kwake kukoje; si
akamuona
jamaa yuko nje ya nyumba yake
kavaa
taulo lake anapiga
mswaki....Akapiga kelele, ''We
naniii??''
Jamaa akajibu, ''Mshikaji
mambo ya mjini haya, mume wa
huyu mama
kasafiri kaenda Uganda mi ndo
najivinjari
hapa.''
Mume akajibu kwa uchungu,
"Shenzi
mkubwa, ngoja nirudi toka
Uganda nakuua walai!!"
 
WATU WA MJINI WANASEMA
UKIJUA HUU WENYEWE WANAJUU
HUKU.SOMA HII
Mume flani kamuaga mkewe
kuwa anaenda semina
Uganda kwa wiki nzima, kumbe
kahamia
kwa demu flani nyumba ya pili
toka kwake.
Siku ya kwanza akalala asubuhi
alipoamka
akachungulia kwake kukoje; si
akamuona
jamaa yuko nje ya nyumba yake
kavaa
taulo lake anapiga
mswaki....Akapiga kelele, ''We
naniii??''
Jamaa akajibu, ''Mshikaji
mambo ya mjini haya, mume wa
huyu mama
kasafiri kaenda Uganda mi ndo
najivinjari
hapa.''
Mume akajibu kwa uchungu,
"Shenzi
mkubwa, ngoja nirudi toka
Uganda nakuua walai!!"

imenivunja mbavu hadi basi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom