Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
monile...ni hivi tangu last wiki nimekua nikiyaangalia kwa umakini maji na chupa za kilimanjaro kwa kweli zina kila dalili ya kuwa sio yale tuliyoyazoea.
ukiyaangalia kwa umakini maji yake wala hayana ung'ao ule uliokuwepo zaman..maji km yana rangi ya povu hivi kwa mbaalii
pia chupa zake kwa chini uku kwenye kitako ni km zmetunatuna na kuna kitundu ivi sjui maji yalikuwa yanaingizwa kwa kutumia bomba la sindano...
hata ladha pia siyo kabisa
huenda mtaaani kwenu stock hiyo haijaja lakin uku uswahilini kwetu naona wametuletea....
nia yangu sio kuwaharibia soko hapana its just kuwashtua bnadamu wenzangu muwe makini na vyakula,vinywaji tuvitumiavyo also kuwataka COCACOLA KWANZA ,SJUI BONITE BOTTLES watupie macho yao kwenye masoko cz kuna wadau wanaowaharibia soko
wenu ktk ujenz wa afya...byeeee