cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 653
Sema tu TZ vyombo husika TCRA na Polisi wanaendekeza hawa watu hakuna wanachosaidia ili kuwaadabisha hawa matapili,huyu asingetuma hiyo hela au asingetapeliwa na kuleta mrejesho humu mngemjua huyu tapeli!!