Mji wa Tarime lipeni walimu malipo ya usahihishaji mock 2016

Mji wa Tarime lipeni walimu malipo ya usahihishaji mock 2016

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,092
Sijui nani anawapa viburi hawa ma ofisa wa ELIMU TARIME. Wamewadhulumu WALIMU Pesa zao za usimamizi na usahihishaji wa mtihani WA mock Kidato cha NNE uliofanyika August 2016.

Wakienda kwa Mkurugenzi wanaambiwa Pesa ilisha pitishwa kitambo na madiwani ilipwe. HATA Mkurugenzi anashangaa kwanini hawajalipwa!!!.

Simba Chawene saidia hawa WALIMU wametapeliwa haki yao, HATA aliegharamia cha kula cha wasahihishaji hajalipwa HATA buku. Sasa sijui kilio chao wapeleke wapi ili wasilaidiwe.Wakimfuata TSEO anawakimbia, saidia Tafadhali.
 
Mambo mengi sana yanasababisha kudidimia kwa Elimu yetu hapa Tanzania.
Kesho unategemea Mwalimu huyu ambae ananyanyasika kiasi hiki aingie darasani na kufundisha kwa moyo kweli.
 
Back
Top Bottom