Kweli Walimu ni kada iliyosahaulika, baadhi ya Walimu walisimamia mtihani WA Utimilifu kidato cha NNE August 2016 kwa makubaliano ya kulipwa 50000 Kila mmoja. Cha kushangaza baada ya kazi hawajalipwa hadi Leo, kazi iliisha 24/08/2016.
Wakateuliwa wengine kwenda kusahihisha mitihani hiyo, wakafanya kazi lakini hadi Leo hawajalipwa HATA buku.
Walio kwenda likizo mwezi Juni 2016 hawajalipwa HATA buku, Sasa Hii ni haki jamani?
HII SIYO MARA YA KWANZA KUANDIKA NAJUA NCHI HII UKISEMA UKWELI UTAITWA MCHOCHEZI. NINACHOOMBA WADAU WA ELIMU TARIME LIPENI HAWA WALIMU STAHIKI ZAO.