Tarime lipeni walimu pesa zao

Tarime lipeni walimu pesa zao

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,092
Japo ualimu ni kada duni kuliko zote Tanzania lakini kilicho fanyika TARIME siyo ungwana hata kidogo.

Baadhi ya WALIMU walipewa barua kusimamia mtihani WA mock kidato cha NNE,cha kushangaza kazi wamefanya pesa hawajalipwa hasi Sasa. Wamemaliza kazi toka 24/08/2016.

Hapo haitoshi wakaita wengine kusahihisha mitihani hiyo ambapo walijituma kwa bidii lakini hadi sasa hawajalipwa HATA shilingi mia pia.Walimaliza kazi Ijumaa iliyopita.

WALIMU walienda likizo Juni 2016 lakini hadi Leo hawajalipwa HATA buku. Licha ya tetesi kuenea kuwa Serikali ilisha leta pesa za likizo za watumishi.

Ukitokea MTU akasema haya ataitwa ama mchochezi au UKAWA. Kama kuna kigogo haamini haya aulizie WALIMU atapata Ukweli HAPA TARIME MJI.
 
Kuna haja walimu tukaanza kufanya kazi zetu binafi, ili zituweke bize tusiwaze madili ya kusimamia mitihani. Sijui wasimamizi watawatoa wapi na hii tabia yao chafu
 
Kuna haja walimu tukaanza kufanya kazi zetu binafi, ili zituweke bize tusiwaze madili ya kusimamia mitihani. Sijui wasimamizi watawatoa wapi na hii tabia yao chafu
Avatar na Username vinatishaah mkuu!!! Km ulipitia kwa Dr Mdachi
 
Unaposema kada DUNI umetumia kigezo gani,
 
Naskia wamemteua kuwa mwenyekiti bod ya mafuta sjui...
 
hujakosea hata kidogo. yeye(Dr. Mdachi), Dr. Mubofu na Prof. Mdoe(kipindi chetu alikua dado ni Dkt); wote wanakula viyoyozi kwasasa
Dr Mubofu Mkurugenzi TBS Prof Mdoe ni Naibu Katibu mkuu wizara ya nishati na Madini Dr Mdachi ni Mwenyekiti wa Bodi TPDC ila yupo tu pale Department ukiwa hata practical unamuona afu unasisimka ghafla mzgo unaendelea!!!
 
yule mzee sitamsahau. ndio maana nikaamua kuweka kumbukumbu yake kwa username na avator. alinifanya niijue chemistry, hapo awali nilikua nafaulu mitihani tu.
 
Back
Top Bottom