Japo Mods wameondoa Uzi wangu kwa sababu wanazozijua wao, naurudisha tena.
Halmashauri hii haijalipa wasahihishaji pamoja na wasimamizi wa mtihani wa mock Kidato cha NNE 2016 uliofanyika AUGUST 2016, ukaisha 24/8/2016.
Walimu pamoja na kuwa watumishi Walio dharaulika sana lakini kuwadhulumu stahiki zao siyo sahihi. Pia muwaweke wazi kama wamedhulumiwa au la,ili wajiandae ki saikolojia.
Pesa za likizo ya Juni 2016 hadi Leo hazijalipwa, hilo halitoshi hata mitihani mnakopa wasahihishaji na wasimamizi.
1.Walimu wakiwafuata ofisini kudai mtawaita wachochezi?
2.Je akijitokeza Mwalimu akahoji hili mtamuita hana maadili mchochezi ?