Ujue mimi nilidhani binti atakuja na bonge la project baada ya ile kesi ila kimyaaaaaa! Mwisho anatujea na maronya yake. Mwanzoni alijidai kama anagawa bure baadae akatubadilishia gia angani.
Basi ubuyu wote niupata ile siku ilipozuka skandali ya kupigwa na bwana. Nilipewa ubuyu mzito kwamba bwana anachepuka vibaya mnoooo! Binti anavumilia mengi jamani!
Halafu bwana anamkontroo vibaya mnooo. Hataki binti hata apendeze, yake mashauzi ya zamani kila wiki photoshoot mara 2 hamna tena!
Ndio maana kapauka masikini

Sent from my iPhone using JamiiForums