Sio gundu binamu , Yule akili hana , Mara Mia lulu kidogo , ingawa na yeye kaamua kuolewa yan atadoda, Yule angendelea tu kuwa single angedanga mpaka nchi za nje, kangekua mbali , Ila si haba atleast , maana anaishi maisha mazuri Hana shida , Ila still angekua na uwezo wa kuwa mbali zaidi
Lulu angetaka kufanikiwa xaidi angeachana na mambo ya ndoa, coz she is a star , na lulu Ana nyota kali na mzuri , angepiga madili ya maaan, Sasa kamuona majini Ndo tajir mxieew akaamua kujifunga
Sent from my iPhone using JamiiForums